Uchaguzi 2020 Juma Raibu aharibu ziara ya Lissu Kilimanjaro. Ang'oa viongozi 15 wa CHADEMA

zanku

Member
Jun 9, 2020
69
149
Siasa za Chuki Mgombea wa Chadema Moshi Mjini Raymond Mboya dhidi ya Juma Raibu zinaharibia chama,viongozi wanazidi kuhamia CCM kuunga mkono kazi za Raibu Mgombea Udiwani wa BomaMbuzi

Wakati tunamsbiri lissu Kilimanjaro ndivyo Hali inadhidi kuwa mbaya.

 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
sisi tunajua kua nyie wote mtamchagua Lissu ..ni kua tu lazima mje kupiga porojo humu ili mpate elfu saba ya kwenda kula supu na bia..hakuna mwendawazimu ataichagua ccm...mlikua mnatumia mtaji wa wajinga ambao hawajaelimika ila wamekufa wengi mmebaki nyie makapi machache machache ambao hata asilimia 20 ya kura hamtafika
 
Siasa za Chuki Mgombea wa Chadema Moshi Mjini Raymond Mboya dhidi ya Juma Raibu zinaharibia chama,viongozi wanazidi kuhamia CCM kuunga mkono kazi za Raibu Mgombea Udiwani wa BomaMbuzi

Wakati tunamsbiri lissu Kilimanjaro ndivyo Hali inadhidi kuwa mbaya.View attachment 1604777
Nyie mbuzi mliwanunua wabunge mkadhani mmeiua chadema sasa hivi mnaleta drama zenu hapa? Mbona mmewatenda watumishi wa umma mkisema hawana impact kwasababu ni wachache. Kwahiyo viongozi 15 wakiondoka ndio chadema imekufa? Inzi wa kijani nyie.
 
Back
Top Bottom