Uchaguzi 2020 Kampeni lala salama: Magufuli yuko kwenye Mabango na Lissu yuko ndani ya mioyo ya Watanzania!

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Kumekucha...kumekucha!
Bado siku 11 tu kipenga Cha kumaliza mchezo kipulizwe hapo 28 Oktoba,2020.

Fainali ni kati ya hawa miamba 2 John Joseph Pombe Magufuli (CCM) na Tundu Antipas Mughwai Lissu (CHADEMA). Kampeni za Hawa miamba 2 ndizo zinavuta Hisia, Ushawishi na Hoja zenye mashiko.

Wakti Magufuli(CCM) ANATUMIA nguvu kubwa sana kwene Kampeni zake kwa MABANGO MAKUBWA KILA KONA YA NJI HII Mhe. Lissu(CHADEMA) anaonekana anajitangaza KUPITIA NDANI MIOYO YA WATANZANIA MASKINI waliopoteza matumaini. Watz Hawa wanamwona Mhe. Lissu kama mtu anayekwenda kurudisha matumaini yaliyopotea kwa miaka 5.

Ogopa sana kushindana na falsafa iliyojengeka ndani ya mioyo ya Watu na propaganda za midomoni zisizo na tija wala impact yoyote kwene maisha ya kila siku ya Watanzania.

Mfano hai: Jiji la Dar limejengwa Flyovers za Mfugale na Ubungo Changeover lakini mvua ya siku 1 imeleta mafuriko na kupoteza maisha ya WATANZANIA wenzetu 12 wasio na hatia!!!

Kama Ni swala la kuwa Rais myoyoni mwenu(wachache) nakubali, Ila swala la yeye kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ni ndoto mpaka kiama,licha ya kuutamani ataishia kuusikia tu.

Kuna jamaa miaka ile aliwahi hadi kuzima gari yake na akasukumwa na raia umbali mrefu Ila hakushinda,mwangine alihama CCM akapokelewa huko, watu walideki barabara,wakamtandikia vitenge vyao barabarani Ila sasa, acha nicheke tu 😂😂😂.

Kwaajili yako mleta mada,Kati ya hao wahuni wanaodeki barabara Kuna wapiga Kura wangapi?

CC: Mzalendo2015
 
Kumekucha...kumekucha!
Bado siku 11 tu kipenga Cha kumaliza mchezo kipulizwe hapo 28 Oktoba,2020.

Fainali ni kati ya hawa miamba 2 John Joseph Pombe Magufuli(CCM) na Tundu Antipas Mughwai Lissu (CHADEMA). Kampeni za Hawa miamba 2 ndizo zinavuta Hisia, Ushawishi na Hoja zenye mashiko.

Wakti Magufuli(CCM) ANATUMIA nguvu kubwa sana kwene Kampeni zake kwa MABANGO MAKUBWA KILA KONA YA NJI HII Mhe. Lissu(CHADEMA) anaonekana anajitangaza KUPITIA NDANI MIOYO YA WATANZANIA MASKINI waliopoteza matumaini. Watz Hawa wanamwona Mhe. Lissu kama mtu anayekwenda kurudisha matumaini yaliyopotea kwa miaka 5.

Ogopa sana kushindana na falsafa iliyojengeka ndani ya mioyo ya Watu na propaganda za midomoni zisizo na tija wala impact yoyote kwene maisha ya kila siku ya Watanzania.

Mfano rahisi: Jiji la Dar limejengwa Flyovers za Mfugale na Ubungo Changeover lakini mvua ya siku 1 imeleta mafuriko na kupoteza maisha ya WATANZANIA a wenzetu 12 wasio na hatia!!!

Tumewazoea na kelele zenu, mwaka 1995 mlisukuma gari la Lytonga MREMA, baadaye mlihamia kwa NGANGALI na kutandika khanga za CUF, hamkuishia hapo mkahamia chadema na kudeki barabara za jiji la Mwanza.

Safari hii mnafagia. Lakini vipigo hamjawahi kuvikwepa, mwaka huu mtajificha wapi sijui. Vyama vyenu ni vya kiunaharakati haitatokea muipate dola labda muanze upya kwa kuviunda upya. Subirini kipigo
 
Back
Top Bottom