johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,975
Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.
Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi.
Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi na ni nini siri ya mafanikio ya CCM?
Je, ni malezi ndani ya vyama?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!