Huyu mwanamama ametoa kauli kali sana na ya kishujaa juu ya mustakabali wa uchaguzi wa Zanzibar na Tanzania bara. Aghalabu ni nadra sana kwa wanaume wa Tanzania kujitokeza wazi wazi na kutoa kauli...
Ndugu zangu kiukweli mimi siyo Muislam Ila Walah RC Kunenge amenigusa sana yaani kama kuna RC nimetokea kumpenda basi ni huyu RC mpya wa DSM. Ni kama aliandaliwa, ni kama alikuwa amewekwa mahali...
Kwa umri wetu tunaona mengi, kiongozi anapofanya kampeni usaidiwa na watu mbalimbali na wengi uwalipa fadhila ya ajira.
Ntatoa mfano, Yule kijana Nassary wa Arusha ameahidiwa ajira, ili apate...
PROF. LIPUMBA KUFUNGA KAMPENI OKTOBA 27 DAR, VIWANJA VYA MWEMBE YANGA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anatarajia kufunga rasmi kampeni...
Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu. Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya...
TLP leo imemlaki Magufuli katika eneo la Himo jimboni Vunjo.
Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha TLP Mzee Agustino Lyatonga Mrema
Akizungumza mara baada ya Rais kumpa nafasi ya...
Fellow countrymen when you see wrong or inequality or injustice, speak out, because Tanzania is your country. This is your democracy and so make it, protect it and pass it on. Democracy is not a...
Wapwa
Dr Mwinyi amewataka Wazanzibari wajitokeze kwa wingi kumpigia kura za ndio tarehe 27 October, ikumbukwe Mgombea wa ACT Maalim Seif aliwambia Wazanzibari wajitokeze tarehe hiyo hiyo 27...
Wanabodi habari ya majukumu?
Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano?
ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema...
Ndugu zangu,
Ukisikiliza yanayoendelea ndani ya ACT na CHADEMA kuhusu suala la Wagombea urais Muungano na Zanzibar utacheka sana na utagundua dhahiri kuwa hakuna upinzani Tanzania bali wasaka...
BIDHAA INAPOKUWA NGUMU KUUZIKA UNATAFUTA MBINU MPYA ZA UUZAJI
Leo alfajir natoka msikitini rafiki yangu Abdallah Kageta ambae ndiyo mwadhini wa sala ya Alfajir hapa msikitini kwetu huwa tuna...
Nimesikia baadhi ya viongozi wa CCM wakitupigia mahesabu ya wanachama walionao. Wameenda mbali wanatupostia kwenye mitandao kwamba kwenye jumla ya wapiga kura 29M eti wanachama wao ni 22M...
Hili jambo limenishangaza sana ! wananchi wengi wamejiridhisha kwamba nchi yetu haipambani na corona kwa dhati kama nchi nyingine zote duniani , Tumeshuhudia pia juhudi za viongozi kutaka...
Kwa hakika ni WanaCCM wachache sana wanaojua kuwa CHADEMA NI MSINGI lilikua ni zoezi operation ya chama nchi nzima na lilikua na lango la kuhakiki wanachama wake nchi nzima ngazi zote kuanzia...
Jeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni.
Halima Mdee alikwenda kuripoti Polisi juu ya Matukio ya...
MADHARA YA KUCHAGUA VYAMA VIPYA NA MAWANDA YA DEMOKRASIA.
Na Elius Ndabila
Zikiwa zimebaki siku chache watanzania kuamua aina ya uongozi wanaoutaka, basi ninaomba nitumie fursa kuwakumbusha...
"Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au...
Mh. Tundu Lissu leo atakuwa na Mikutano mitatu Jimbo la Singida Magharibi ambayo ni;
1: Sepuka,
2: Iglanson na
3: Ihanja.
Wakati wa Mabadiliko ni sasa.
Yani yule mwingine leo anafanya mkutano...
Waafrika bhan mimi sijui Genes zetu zilitoka kwa watu gani maana:
Bara maskini kuliko yote duniani ni Afrika.
Maendeleo ambayo yako chini (kiuchumi, kijamii, kisiasa n.k) kuliko mabara yote...
Tarehe 28 hiyooo imefika,
Misimamo ya watanzania haitabiriki,
Hii inatokana na kukosa uhuru wa kuongea,
Watanzania wakikutana kwenye vijiwe wanamsifia Magufuli,
Ukimdadisi mmoja mmoja kwa...