Lissu kua mwisho kwenye karatasi ya mpiga kura ni baraka sana

kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,395
512
Wa mwisho ndo mshindi. Wanchi waambiwe tuu na kuelimishwa tuu, ya kwamba ukombozi upo mwisho na akatiki ndani ya kisanduku tuu. Tiki yake isije tokea nje, ukitoka kura itakua imeharibika.

Oparesheni mbunguza kuharibika kwa kura ianze leo. Mifano itolewe ya kura halali.

Tumemuona Zungu akifundisha watoto mamna ya kumpigia kura halali Magufuli.

KWAHIO WAMWISHO NDO MSHINDI JAMENIII
 
Back
Top Bottom