Shule yafungwa Dodoma, ilikuwa na walimu 3, wanafunzi 900, wengi walikua mbumbumbu

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,083
6,922
Cheki hii habari ya huko Dodoma.
Shule ya msingi Mbalawala iliyopo manispaa ya Dodoma imefungwa kwamuda usiojulikana na wazazi kutokana na kuwa na upungufu mkubwa wa walimu na wanafunzi kuwa mbumbumbu, shule hiyo ina wanafunzi 900 na walimu 3
 
Du! Ukiuliza tunafanya uwakiki safi sana serikali endeleeni kufanya uwakiki paka shele zote zifungwe
 
Kweli ni kichekesho,huku mtaani walimu wapo kibao wanasubiri ajira,,na mashuleni nako wanafunzi wanakosa waalimu
 
Back
Top Bottom