Uchaguzi 2020 Mimi na jamaa zangu 12 na ndugu zangu 6 tunamuhakikishia Tundu Lissu kura 18

blackbandana

Member
Aug 30, 2014
39
51
Hiyo kupitia kutambua madhila ya CCM miaka 59 baada ya Uhuru maendeleo ya kujikongoja na propaganda za miaka mitano ya JPM.

NDANI YA MIAKA 5
1. Kuua soko la mazao ya biashara kama vile korosho, tumbaku na kahawa siku hiz hayana thamani kama zamani.

2. Kuwatesa watumishi kwa kutowapa stahiki zao kama increment, kutokupanda madaraja watu waloajiriwa kuanzia 2014.

3. Kukosekana kwa madawa hospital licha ya kua na bima.

4. Kuua viwanda vya uzalishaji ambavyo viliajiri maelfu ya watanzania sa iv ving vimefungwa.

5. Ukosefu wa ajira kwa vijana wanaomaliza vyuo vikuu ikiwa mfumo wa elimu walouweka CCM ni wa kuajiriwa sio kujiajiri.

6. Kulipa kisasi kwa watu walio kinyume na utawala huu licha ya ukwel hii nchi ya demokrasia so kila mtu anapaswa kuamini katika chama chake.

7. Kutuaminisha maendeleo ya sehem moja kv dsm au ddm ndo maendeleo ya taifa kwa kuweka fly over akat huku kwetu barabara ya kupeleka nyanya sokon haipitiki.

8. Kuongeza makato ya bodi kutoka 8% mpk 15% kimabavu bila kufata mikataba ya awali

KUPITIA hayo mm na jamaa zangu tumekubaliana kumpigia KURA zetu LISSU na hatutojutia hata kama wakishinda wao still mioyon tutabaki na imani kwamba hatujapoteza haki yetu.
Wasalaam
 
Hiyo kupitia kutambua madhila ya CCM miaka 59 baada ya uhuru maendeleo ya kujikongoja na propaganda za miaka mitano ya JPM.

Danny Faure aliyeshindwa alizaliwa Uganda na kuhamia Seychelles akiwa mdogo . Licha ya yeye kuiletea Seychelles maendeleo lakini Wananch wameona apumzike na wamemshukuru
Lisu anatosha ewe mtanzania nenda kampe kura yako
IMG-20201026-WA0004.jpg
 
Attachments

  • IMG-20201026-WA0006.jpg
    IMG-20201026-WA0006.jpg
    52.6 KB · Views: 3
Hiyo kupitia kutambua madhila ya CCM miaka 59 baada ya uhuru maendeleo ya kujikongoja na propaganda za miaka mitano ya JPM.

NDANI YA MIAKA 5
1. Kuua soko la mazao ya biashara kama vile korosho, tumbaku na kahawa siku hiz hayana thamani kama zamani.

2. Kuwatesa watumishi kwa kutowapa stahiki zao kama increment, kutokupanda madaraja watu waloajiriwa kuanzia 2014.

3. Kukosekana kwa madawa hospital licha ya kua na bima.

4. Kuua viwanda vya uzalishaji ambavyo viliajiri maelfu ya watanzania sa iv ving vimefungwa.

5. Ukosefu wa ajira kwa vijana wanaomaliza vyuo vikuu ikiwa mfumo wa elimu walouweka CCM ni wa kuajiriwa sio kujiajiri.

6. Kulipa kisasi kwa watu walio kinyume na utawala huu licha ya ukwel hii nchi ya demokrasia so kila mtu anapaswa kuamini katika chama chake.

7. Kutuaminisha maendeleo ya sehem moja kv dsm au ddm ndo maendeleo ya taifa kwa kuweka fly over akat huku kwetu barabara ya kupeleka nyanya sokon haipitiki.

8. Kuongeza makato ya bodi kutoka 8% mpk 15% kimabavu bila kufata mikataba ya awali

KUPITIA hayo mm na jamaa zangu tumekubaliana kumpigia KURA zetu LISSU na hatutojutia hata kama wakishinda wao still mioyon tutabaki na imani kwamba hatujapoteza haki yetu.
Wasalaam
Anashinda Lissu. Leo nasi tutakuwa na kikao cha ukoo kumpitisha Lissu kuwa Rais.
 
Mie nimeshawishi watu wengi hadi sipati idadi. Kilichonifurahisha ni kuwa watu wanampenda na kumkubali sana Lissu. Yaani muamko wa watanzania kwenda kumtoa huyu katili, muuaji na fedhuli ni mkubwa sana mwaka huu

i
 
Nimecheka sana.. umeandika kama wanavyoongea wale.. waliosomeshwa namba.. wezi wa mali za umma.. acha uvivu kafanye kazi..

Kapigeni salama nuhesabike.. kati.. ya... 0.000000000000000001

Uwe tayari kulia mukiona kijanina njano inatawala.
 
Mimi na wenzangu 70 na wategemezi wetu tuliopunguzwa kazi baada boss wetu kubambikiwa madeni ya siku nyingi kodi hivyo kuanza kufilisika tupo na mleta tumaini Lissu.
 
Mie nimeshawishi watu wengi hadi sipati idadi. Kilichonifurahisha ni kuwa watu wanampenda na kumkubali sana Lissu. Yaani muamko wa watanzania kwenda kumtoa huyu katili, muuaji na fedhuli ni mkubwa sana mwaka huu

i

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umeandika hayo yote.. na bado upo huru.. juu ya yote upo hai.. na unaishi maisha muruwaaaa.. 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳

Magufuli tu 2020 💯.. punguzeni hasira za mafisadi like na wapiga pesa wezi.. huyo munamutaja..mtajijum. anzeni kuvaa kijani na njano..
 
Mimi Nilikuwa na kura kumi ila baba yangu mzazi amefariki so zimebaki Tisa hizo ni za lisu hakika 100%
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umeandika hayo yote.. na bado upo huru.. juu ya yote upo hai.. na unaishi maisha muruwaaaa.. 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳

Magufuli tu 2020 💯.. punguzeni hasira za mafisadi like na wapiga pesa wezi.. huyo munamutaja..mtajijum. anzeni kuvaa kijani na njano..
Amini amini nakwambia Magufuli ni Raisi mstaafu wa Tanzania kuanzia ijumaa wiki hii
 
Kwa sababu wewe ulitaka.. uendelee kula pesa za wizi.. ndio maendeleo yasifanyike..

Punguza hasira.. fanya kazi ule.. fisadi.. muwache uwoga.. mnajua mitano tena.. itakuwa kama kawaa

Magufuli 2020💯
 
Mimi ninazo Kura 4 za LISSU . mke,mtoto,shemeji,na Mimi mwenyewe.

Kitu Cha kufanya,hakikisha unapiga Kura zote wewe mwenyewe.

Nenda na familia yako ,au rafiki uiliyemshawishi,
Anza kupiga Kura ,ukimaliza ,anafata mkeo anaomba mtu wa kumsaidia anakuchagua wewe/ unamsaidia ,Hadi wote unawapigia kura. Sheria inaluhusu wa msiwe woga wa kumsaidia mtu kupiga Kura kwa LISSU.
 
Kwa kuwa kura ni siri ni vigumu sana kujiaminisha kuwa kura zote za ukoo wenu mmepatana kumchagua fulani.
 
Hiyo kupitia kutambua madhila ya CCM miaka 59 baada ya uhuru maendeleo ya kujikongoja na propaganda za miaka mitano ya JPM.

NDANI YA MIAKA 5
1. Kuua soko la mazao ya biashara kama vile korosho, tumbaku na kahawa siku hiz hayana thamani kama zamani.

2. Kuwatesa watumishi kwa kutowapa stahiki zao kama increment, kutokupanda madaraja watu waloajiriwa kuanzia 2014.

3. Kukosekana kwa madawa hospital licha ya kua na bima.

4. Kuua viwanda vya uzalishaji ambavyo viliajiri maelfu ya watanzania sa iv ving vimefungwa.

5. Ukosefu wa ajira kwa vijana wanaomaliza vyuo vikuu ikiwa mfumo wa elimu walouweka CCM ni wa kuajiriwa sio kujiajiri.

6. Kulipa kisasi kwa watu walio kinyume na utawala huu licha ya ukwel hii nchi ya demokrasia so kila mtu anapaswa kuamini katika chama chake.

7. Kutuaminisha maendeleo ya sehem moja kv dsm au ddm ndo maendeleo ya taifa kwa kuweka fly over akat huku kwetu barabara ya kupeleka nyanya sokon haipitiki.

8. Kuongeza makato ya bodi kutoka 8% mpk 15% kimabavu bila kufata mikataba ya awali

KUPITIA hayo mm na jamaa zangu tumekubaliana kumpigia KURA zetu LISSU na hatutojutia hata kama wakishinda wao still mioyon tutabaki na imani kwamba hatujapoteza haki yetu.
Wasalaam
Ni YEYE 2020 - 2025
mitano KWANZA kwa Lissu
 
Back
Top Bottom