Uchaguzi 2020 Rashidi Gwajima akiwa katika sherehe za Maulidi

Mtu ambae alitakiwa kwenda kumchachafya mbunge aliyepo ametumia muda mwingi wa campaign kusafisha image yake ili apate kura za watu aliowakera huko nyuma, kuliko kukabiliana na Mbunge anaeshindana nae.

Hizi ndio sababu zinazofanya vyama vya siasa visipende kujihusisha na controversial figure ndani ya jamii, sack the president political advisor.

Alieshinda Kawe alikuwa mtoto wa dadake raisi so what muhimu mchakato ulikuwa wazi and democractic kwa kila mtu kuona. Mbona hakuna mwenye habari na mtoto wa Mbowe anaegombea Moshi mjini.

In the future watu wajifunze kuheshimu maamuzi ya kidemokrasia kukatwa kupo kote duniani sio Tanzania tu hata nchi zilizoendelea kabisa it’s normal ila kuna sababu za kimaadili ya mgombea, misimamo yake kama inakinzana na mlengo wa chama; etc.

Sio watu wanaamua tu kata yule kisa pacha wake mmbunge tayari, ohoo huyu ana nafasi ya kushinda uchaguzi kuliko mgombea wetu the whole thing was unfair.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom