Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Singida. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi. Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka...
29 Reactions
124 Replies
11K Views
Zikiwa zimesalia siku 7 tu kukamilisha muda wa kampeni , leo tena yule Mgombea wenu Jasiri Tundu Lissu anaendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa yenu , ambapo atamaliza kazi kwenye baadhi ya...
29 Reactions
141 Replies
18K Views
Tumeona kwa macho yetu baadhi ya watu wanaojiita wana CCM wakijaribu kuhujumu uchaguzi huu. Tumeona ambavyo wanaonekana wakiwa na kura fake ambazo wanataka kuzichanganya na halisi. Hawa ni...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Tangu kuanza mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 na uchaguzi mkuu wa kwanza wa mwaka 1995, Tanzania haijawahi kushuhudia na kupata mgombea wa upinzani machachari na mwenye ufahamu wa hali ya juu wa...
54 Reactions
61 Replies
8K Views
Sehemu mbalimbali nchi imeripotiwa kuwa mawakala wa CHADEMA wamezuiwa kuingia vituoni kwa sababu DED hajawapa barua mfano huko Tanga na Tarime. Jimbo la Kavuu tunaambiwa Mawakala 30 wamekamatwa...
21 Reactions
75 Replies
9K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Katavi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais Magufuli leo akiwaapisha Majaji 10 aliowateua pamoja na Mawakili amesema kuwa Watanzania tunaamini kila kinachoandikwa kwenye mitandao ya kijamii. Hii inatokana na kutoku-control mitandao...
10 Reactions
263 Replies
25K Views
23 October 2020 Mbeya, Tanzania RC Albert Chalamila asema jana niliwaona watu ofisi ya Mkurugenzi lakini nilikuwa nawahesabia masaa akina mama wale kabla ya kushughulikiwa kwa hatua kali ambazo...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi amesema kuwa ana uhakika Chama cha Mapinduzi kitaibuka kidedea katika Jimbo la Mbeya Mjini. Tulia amesema hayo...
3 Reactions
58 Replies
8K Views
Kwako Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg John Mnyika. Mwaka 2015 uligombea ubunge Jimbo la Kibamba, hongera ulifanikiwa kupita kutokana na mawakala waliojitoa kufa kupona kwa ajili yako, wapo waliokataa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Hizi siasa za kuchafuana utu kwa mambo ya kipuuzi, kumshushia mwenzako hadhi ya ubinadamu wake na huku ukijua alikotokea ni jambo la kipuuzi na linapaswa kukemewa hadharani. Hii inanifanya...
79 Reactions
136 Replies
14K Views
RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio. Maendeleo hayana vyama!
9 Reactions
109 Replies
11K Views
CCM wako "so desperate" kuhakikisha kuwa mgombea Urais wao John Pombe Magufuli anatetea kiti chake. CCM wanatambua fika kuwa, kupitia sanduku la kura (Ballot Box), Magufuli hawezi kushinda iwe...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Wasalaam wana jamvi! Baada ya mgombea wa CHADEMA kuwatuhumu mamlaka ya anga kumchelewesha kwenda Dar kwa kutumia helkopta ...leo mamlaka ya anga wamemjibu na kushangazwa na upotoshaji wao...
19 Reactions
130 Replies
13K Views
Kuna update: Update 2: Maalim Seif alazimishwa kurudi nyumbani. Vipigo vyaendelea kutembezwa - Imevuja!
19 Reactions
338 Replies
40K Views
Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo...
26 Reactions
110 Replies
12K Views
Kulingana na uhalisia wa mambo, sikuamini kama kuna hata chembe ya haki na nguvu ya kura yangu. Ila kama na wao wameogopa kiasi hiki, basi na mimi nitapiga kura, wacha iibiwe, wacha iharibiwe...
46 Reactions
64 Replies
7K Views
Huu ni wosia Mzito kutoka team X team yakuhakikisha CCM anabaki kwenye Dola miaka inayo au laa mbeleni wategemee kugawana fito. Na hii ni baada yakuonekana uchaguzi wa mwaka huu 2020 wenye Dola...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…