Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Ackson: Siamini kama Matokeo yatakuja tofauti na ninavyotarajia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,808
11,973
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi amesema kuwa ana uhakika Chama cha Mapinduzi kitaibuka kidedea katika Jimbo la Mbeya Mjini.

Tulia amesema hayo alipojitokeza kupiga kura, ambapo amesema kuwa amezunguka katika vituo takribani 40 na hali katika vituo hivyo ni shwari na wananchi wameitika wito.

Aidha amebainisha Changamoto ambazo zimejitokeza kuwa ni baadhi ya wapiga kura wamekata tamaa ya kushiriki zoezi hilo baada ya kutafuta Majina yao na kuyakosa katika vituo ambavyo walitarajia kupigia kura.

Tulia.jpg
 
Anayechagua CCM asilaumu umaskini, awe tayari kuvumilia miaka mitano nyingine ya huyu dikteta, na mark my words mkimpa mitano ikiisha katiba inabadilishwa atataka mitano mingine, hakuna mtu wa kumreplace ccm nzima.
Bora kuwa maskini tukiwa na amani kuliko utajiri wa mashaka na kuoana midume
 
CCM ndio Chama Kitakachoongoza kwa kujisombea kura za kutosha katika Uchaguzi wa mwaka huu utake au usitake lakini huu ndio ukweli ulivyo maana Watanzania wengi bado tuna Imani na CHAMA achilia mbali wachache wenye maslahi yao binafsi.
 
Back
Top Bottom