Kwa huu mwenendo wa uchaguzi wa mwaka huu; Gharama za uchaguzi ujao bora zitumike kutoa ajira

ManDizzo

Senior Member
Jun 25, 2014
141
130
Habari wakuu,

Kwa huu upepo wa uchaguzi mwaka huu pesa za kugharamia uchaguzi zinazotoka katika kodi zetu bora zitumie kuajiri vijana waliopo mitaaani toka 2015 au ziongeze mishahara tu at least tutakuwa tumezitendea haki.

By the way hongereni CCM kwa ushindi wa kishindo.

CCM chaguo la Watanzania.
 
Mkuu ManDizzo , huu ni ushauri mzuri sana, hata uchaguzi huu tulioufanya, kuna watu humu tulishauri...
P
 
Mkuu ManDizzo , huu ni ushauri mzuri sana, hata uchaguzi huu tulioufanya, kuna watu humu tulishauri...
P
Wew mzee hujitambui kabisa nawahurumia sana wanao kama unao hawana cha kujivunia toka kwako zaidi ya aibu hii utakayo waachia.
 
Wew mzee hujitambui kabisa nawahurumia sana wanao kama unao hawana cha kujivunia toka kwako zaidi ya aibu hii utakayo waachia.
Sijawahi kuona mwandishi maskini wa fikra kama huyu msukuma Pascal Mayalla, Huyu jamaa ana Low IQ kabisa haiitaji degree kumtambua...
 
Back
Top Bottom