Uchaguzi 2020 Mbeya: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
792
1,000

Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mbeya. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Mbeya una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni:-

Mbeya Mjini -
Tulia Ackson(CCM) - Kura 75,225
Joseph Mbilinyi( CHADEMA) - kura 37,591

Busekelo -
Atupele Mwakibete (CCM)

Kyela -
Ally Jumbe (CCM)

Lupa-
Masache Kasaka (CCM)

Mbalali -
Franscis Mtega (CCM)

Mbeya Vijijini -
Oran Njeza (CCM)

Rungwe -
Anthony Mwantona (CCM)ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
4,513
2,000
Mungu Baba ninatubu kwa dhambi zangu na taifa letu Tz, tuonee huruma, tujalie hekima na busara tukafanye wajibu wetu kupiga, kuhesabu, kutangaza matokeo kura itakayo leta HAKI na ustawi wa taifa letu.

Amina
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom