Dr Shekilango
Senior Member
- Dec 30, 2013
- 192
- 117
Jimbo la Ilala ni kati ya Clinton wa NCCR-MAGEUZI na Zungu wa CCM. Wakati tunaendelea na dakika za lala salama za kampeni Jimbo la Ilala lina mtifuano mkali kati ya hawa watu wawili, huku wa ACT WAZALENDO akifuatia, Ikubukwe Zungu kawa mbunge wa Jimbo hilo kwa miaka 15 mpaka sasa na hivyo watu wamemchoka sana hivyo Clinton anafaidika na hilo na pamoja kuwa bado ni kijana mdogo.
Sasa mtifuano utakuwa kati ya Clinton na Zungu hili jimbo mpaka sasa bado ni 50/50 kati ya Clinton na Zungu sijui sasa NCCR-MAGEUZI wamejipangaje katika ulinzi na utetezi wa kura zao! Ila Clinton ni moja ya wagombea wenye ushawishi katika Jimbo hilo.