Je, Watanzania hawapo tayari kwa mabadiliko?

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Apr 30, 2018
2,022
2,589
Poleni kwa kuzimiwa internet.

Nirejee kwenye mada yangu,Je watanzania wanaweza kweli kupigania kuikomboa nchi toka kwa mkoloni mweusi huyu. Kila siku tumekuwa tukiona matukio mengi ya uonevu kutoka chama dola lakini hakuna siku watanzania wakachukua hatua stahiki za kuwawajibisha wahusika.

Kila mara wanasiasa na wanaharakati wakiwaasa raia ku organize maandamano hakuna kinachotokea na wananchi wanajifungia chumbani kwa uoga.

Je, kuna siku wananchi wa nchi hii wataweza kusema enough is enough na kuamua kupigania haki zao kama wenzetu malawi,kenya na sehemu zingine.

Wakat mwingine hata kutegemea vyombo vya ulinzi vikatae udhalimu ni bure tu kwa kuwa sehemu nyingi ambapo jeshi lilifanya hivyo n baada ya kuona nguvu ya umma ikifanya kazi mfano Sudani.

Kwa nionavyo mimi nadhan watanzania watatawaliwa milele wakiendelea kuwa hivi hivi bila kubadilika.
 
Fikra ulizonazo ndizo zunazotunga mawazo uliyonayo kwamba kuna mkoloni mweusi ilihali kiuhalisia haiko hivyo.
Ndio, sisi watanzania hatuko tayari kwa mabadiliko wala maandamano. Makubwa yamefanywa nchi hii tangu tupate uhuru.
Nakushauri kabla hujatubadilisha sisi badilika wewe kwanza.
Tegemea makubwa mengi hii miaka mitano ijayo, maana sisi sio waoga na tumefanya uchaguzi sahihi kwa miaka mitano ya vizazi vyetu.
 
Ukitaka kuwa na furaha ... Unapaswa kuwa objective... Au uwe na kiasi. Usiache moyo/hisia zitawale akili na mwili.

Wengi wa watanzania wanaojiongoza vila uwiano sahihi wa akili/mwili/hisia wanaishia kuwa na mawazo tatanishi kama haya.

Tanzania kwanza kabisa ni mchanganyiko mkubwa wa tamaduni na kabila... Migration nyingi ndizo zilizoifanya Tanzania... Hawa watu waliokuwa wanakimbia huko watokako lazima ujue walikuwa na shida zao..

Wengine walikuwa wanawakimbia masnitch na wengine walikuwa wakimbia kama masnitch. Mkwawa hakuwa snitch ila wale waliojiunga na mabeberu ili kuwakomoa weusi wenzao ni masnitch. Kwa Tanzania magugu na ngano vimeendelea kukua pamoja.

Sasa masnitch waliotupeleka kwenye mikono ya wakoloni once.. na ni hao hao leo wakiwa na kabila tofauti la 'kiitikadi' au 'kichama' wanaturudisha kulekule kwa namna ile ile (deja vu) masnitch. Ni kazi kubwa kujiona unapokua ukiandika historia.

Mungu Atusimamie.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania hawakuwahi kuutaka upinzani ilikuwa ni busara za Mwalimu Nyerere.
 
Hivi upinzani wa Tz walikuwa wananadi Sera gani zaidi ya matusi. Walikuwa wamenadi sera gani kumsaidia mwananchi? Upinzani wenyewe kwa wenyewe hawaelewani, wananchi ndo kabisa waliwachanganya.
 
Mkuu.wa Tz hatuna shida kiviileee...yaan hakuna tabu hizo mnazosema.watu wanalima wanakula...hawalipi kodi..watu wanakula bata..hakuna kusumbuana...etc...

Kwa wakat uliopo huwes ona hata sku1 wakiandamana au kuleta vita.sabab kila mtu ameridhika na maisha yake

Ila kadiri watu wanavoenda shule na elimu baada ya miaka 20 ndio utaiona hyo Tz unayoitaka wewe..yenye harakat etc...
 
Poleni kwa kuzimiwa internet.

Nirejee kwenye mada yangu,Je watanzania wanaweza kweli kupigania kuikomboa nchi toka kwa mkoloni mweusi huyu. Kila siku tumekuwa tukiona matukio mengi ya uonevu kutoka chama dola lakini hakuna siku watanzania wakachukua hatua stahiki za kuwawajibisha wahusika.

Kila mara wanasiasa na wanaharakati wakiwaasa raia ku organize maandamano hakuna kinachotokea na wananchi wanajifungia chumbani kwa uoga.

Je, kuna siku wananchi wa nchi hii wataweza kusema enough is enough na kuamua kupigania haki zao kama wenzetu malawi,kenya na sehemu zingine.

Wakat mwingine hata kutegemea vyombo vya ulinzi vikatae udhalimu ni bure tu kwa kuwa sehemu nyingi ambapo jeshi lilifanya hivyo n baada ya kuona nguvu ya umma ikifanya kazi mfano Sudani.

Kwa nionavyo mimi nadhan watanzania watatawaliwa milele wakiendelea kuwa hivi hivi bila kubadilika.

Unazungumzia mabadiliko yapi mkuu ya vyama au maendeleo ya nchi. Mkuu wewe PUMBa sana. Acha tu kuandika. Weka maslahi ya nchi Acha ushabiki wa kimpira mpira. JPM ni mweusi anayetosha sana. Shida yenu manawaza vyama badala ya kuwaza nchi. Kwa aina ya USANII NA MATUSI MATUSI. MTATAWALA SUDANI. WATANZANIA WAJANJA SANA. NA LISSU ALIKOSEA SAN KULETA VITISHO VYA FUJO. HAPO MTZ AKAONA NDO APUNGUZE KABISA KURA. POLE SANA JPM ANA NGUVU. ANA NYOTA NA NI RAIS TUNAYEMUHITAJI TZ. NOW UNTIL 2025. atapumzikaa.
 
Jibu kwa hoja sio matusi. Hakuna maslahi ya nchi kwa hiki kinachoendelea bali maslahi ya genge lililoamua kukalia nchi kibabe.
 
Mkuu.wa Tz hatuna shida kiviileee...yaan hakuna tabu hizo mnazosema.watu wanalima wanakula...hawalipi kodi..watu wanakula bata..hakuna kusumbuana...etc...

Kwa wakat uliopo huwes ona hata sku1 wakiandamana au kuleta vita.sabab kila mtu ameridhika na maisha yake

Ila kadiri watu wanavoenda shule na elimu baada ya miaka 20 ndio utaiona hyo Tz unayoitaka wewe..yenye harakat etc...
Kwa hyo tatizo ni elimu? so far elimu yetu pia wanaichezea sana nadhan lengo pia ku create wajinga wengi ili watawale
 
Poleni kwa kuzimiwa internet.

Nirejee kwenye mada yangu,Je watanzania wanaweza kweli kupigania kuikomboa nchi toka kwa mkoloni mweusi huyu. Kila siku tumekuwa tukiona matukio mengi ya uonevu kutoka chama dola lakini hakuna siku watanzania wakachukua hatua stahiki za kuwawajibisha wahusika.

Kila mara wanasiasa na wanaharakati wakiwaasa raia ku organize maandamano hakuna kinachotokea na wananchi wanajifungia chumbani kwa uoga.

Je, kuna siku wananchi wa nchi hii wataweza kusema enough is enough na kuamua kupigania haki zao kama wenzetu malawi,kenya na sehemu zingine.

Wakat mwingine hata kutegemea vyombo vya ulinzi vikatae udhalimu ni bure tu kwa kuwa sehemu nyingi ambapo jeshi lilifanya hivyo n baada ya kuona nguvu ya umma ikifanya kazi mfano Sudani.

Kwa nionavyo mimi nadhan watanzania watatawaliwa milele wakiendelea kuwa hivi hivi bila kubadilika.
Watanzania tunataka maendeleo sio mabadiliko🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Back
Top Bottom