DW: Huyu ni dikteta mpya Afrika? Wanachama thelathini na nane wa chama kikuu cha upinzani ikijumuisha wanasheria wamewekwa korokoroni wiki moja kufuatia uchaguzi. Nani bado mshabiki wa Rais Magufuli?
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 Ibara ya 84(1) inafafanua kuwa ?Kutakuwa na Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni wabunge au...
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy amesema makandarasi wanashirikiana na baadhi ya watendahi watumishi wilaya ya Nkasi kutafuna fedha za miradi mbalimbali ya maendeleo.
Amesema jambo...
Amani iwe nanyi watu wa Mungu!
Kwa kipindi cha miaka 59 tangu uhuru, Tanzania imekuwa ikiongozwa na Chama cha mapinduzi. Katika miaka hii yote watanzania wamepitia mengi sana ila kila siku maisha...
Nasema hivi kwasababu, najiuliza serikali inayotokana na uchaguzi kama huu wa Oktoba 28 ya mwaka huu ina uhalali gani kwa umma wa Watanzania?
Kusimamia upande wa hii Serikali ni Uzalendo au ni...
Uzi huu ni swali. Tuelimishane kwa tunaojua jibu la swali.
Viongozi wakuu SMZ wanaomaliza muda wao mwaka huu 2020 na wapya waliotangazwa kushinda kwenye uchaguzi uliomalizika visiwani Zanzibar...
Wagombea wa udiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) katika Kata tisa kati ya 12 ambazo kura zimemaliza kuhesabiwa wametangazwa kushinda.
Akizungumza na mwandishi msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo...
The citizens of the United Republic of Tanzania will elect on 28 October their President, Members of the parliaments of the Union and Zanzibar, as well as local councillors. The European Union...
Ukweli mchungu ni kuwa shamrashamra zikishapungua, mwenyekiti wao bila kificho atawaambia kupitia umma kuwa sasa ni wakati wa kulipa fadhila. Haiingii akilini uwang'oe Mdee, Mbowe, Lema, Mbilinyi...
Hapo majuzi kuna wajinga walianza kulaumu wasanii wa Tanzania na kusifia wa Nigeria yani nikimsikia mtu huyo matusi yote duniani yatakuwa halali yake.
Msanii hawezi kuanzisha maandamano bali...
May be kutakuwa na kesi nyingi, je mahakama ziko tayari kuzi handle justly? Kwa ushahidi unaotegemewa kutolewa, ni wazi katika haki zote zitatenguliwa nyingi za "ushindi" was kubeba mabox na...
Waliojiandikisha jimbo la Geita ni watu 148,360
Waliojitokeza kupiga kura ni watu 49,700
Watu zaidi ya 98,000 hawajapiga kura
Uthibitisho ya kwamba, Watanzania walio wengi wamechoshwa na haya...
Tulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita Mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea...
Hivi ni kwa nini CCM Zanzibar haiwatumii wastaafu ktk kampeni au mkutano mkuu wa chama,Huku bara tunaona wastaafu kama JK na wastaafu wengine huwa wanatumika sana au kushiriki mkutano mkuu wa...
CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho...
Nionavyo mimi miaka yote ya uchaguzi vyama hivi vimekuwa na kasumba ya kusubilia wagombea wazuri waliokatwa CCM hivyo kuwa mtaji mzuri wa kuwapatia vitu, Lakini mwaka huu imekuwa tofauti sana...
Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu.
Agosti 25...
Wakati wa kampeni Magufuli alisikika akisema, nileteeni diwani na mbunge wa CCM, alikua na uhakika wa ushindi wake. Yale aliyosema yote yametimia. Majimbo karibu yote ya Tanzania yame pata...
Uchaguzi umeisha baada Watanzania waliojiandikisha kutumia haki yao ya msingi tarehe 28 October 2020 kuchagua Viongozi kupitia sanduku la kura.
Tayari matokeo ya Ubunge,Udiwani na Rais yameenza...