Kwanini Amani Abeid Karume huwa hatumiki kwenye kampeni za CCM Zanzibar?

pierre16

Member
Jan 18, 2014
68
47
Hivi ni kwa nini CCM Zanzibar haiwatumii wastaafu ktk kampeni au mkutano mkuu wa chama,Huku bara tunaona wastaafu kama JK na wastaafu wengine huwa wanatumika sana au kushiriki mkutano mkuu wa chama lakini kwa Zanzibar hali ni tofauti,Je hawana ushawishi tena?
 
Tena huyu jiwe akipewa mitano tena alivyo na roho mbaya atawapoteza wote
 
Hivi ni kwa nini CCM Zanzibar haiwatumii wastaafu ktk kampeni au mkutano mkuu wa chama,Huku bara tunaona wastaafu kama JK na wastaafu wengine huwa wanatumika sana au kushiriki mkutano mkuu wa chama lakini kwa Zanzibar hali ni tofauti,Je hawana ushawishi tena?
Huyo ni mnafiki tu mbona yeye alisaidiwa ku8ngia madarakani anashindwa kuwasaidia wenzie
 
Hivi ni kwa nini CCM Zanzibar haiwatumii wastaafu ktk kampeni au mkutano mkuu wa chama,Huku bara tunaona wastaafu kama JK na wastaafu wengine huwa wanatumika sana au kushiriki mkutano mkuu wa chama lakini kwa Zanzibar hali ni tofauti,Je hawana ushawishi tena?
Hawataki ujinga
 
Karume ana akili timamu hawezi kupelekeshwa na beberu ccm wanaoikalia zanzibarnkimabavu
 
Hivi ni kwa nini CCM Zanzibar haiwatumii wastaafu ktk kampeni au mkutano mkuu wa chama,Huku bara tunaona wastaafu kama JK na wastaafu wengine huwa wanatumika sana au kushiriki mkutano mkuu wa chama lakini kwa Zanzibar hali ni tofauti,Je hawana ushawishi tena?

Wanasema Karume ni team maalim seif atashirikishwa vipi? yule aliwambia ccm wana akili za samaki akimaanisha hii 2020 ndio utajakujua maana yake, kaa mkao wa kula yajayo yanafurahisha
 
Hivi ni kwa nini CCM Zanzibar haiwatumii wastaafu ktk kampeni au mkutano mkuu wa chama,Huku bara tunaona wastaafu kama JK na wastaafu wengine huwa wanatumika sana au kushiriki mkutano mkuu wa chama lakini kwa Zanzibar hali ni tofauti,Je hawana ushawishi tena?
watoto wa waasisi wote si mali kitu tena...kuanzia kina balozi karume,fatuma karume,madaraka,makongoro
 
Hivi ni kwa nini CCM Zanzibar haiwatumii wastaafu ktk kampeni au mkutano mkuu wa chama,Huku bara tunaona wastaafu kama JK na wastaafu wengine huwa wanatumika sana au kushiriki mkutano mkuu wa chama lakini kwa Zanzibar hali ni tofauti,Je hawana ushawishi tena?

Karume anajitambua
 
Mwulize “Shangazi” Karume!
 
Hivi ni kwa nini CCM Zanzibar haiwatumii wastaafu ktk kampeni au mkutano mkuu wa chama,Huku bara tunaona wastaafu kama JK na wastaafu wengine huwa wanatumika sana au kushiriki mkutano mkuu wa chama lakini kwa Zanzibar hali ni tofauti,Je hawana ushawishi tena?
Unataka kila mtu atumike ili iwe nini?
Ccm chama makini buana
Waliochaguliwa wanatosha
Zenji nikisiwa kidogo sana mzee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom