DW: Rais Magufuli ni dikteta mpya Afrika? Yauliza kama bado kuna mtu ana ushabiki nae

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,444
7,799
DW: Huyu ni dikteta mpya Afrika? Wanachama thelathini na nane wa chama kikuu cha upinzani ikijumuisha wanasheria wamewekwa korokoroni wiki moja kufuatia uchaguzi. Nani bado mshabiki wa Rais Magufuli?

DW.JPG
 
Huwa wanatumia njia hizi hizi kuchafua,,,,nchi nyingi za kiafrika zimeingia kwenye matatizo kwa sababu ya mambo haya [HASHTAG]#Wanafanikisha[/HASHTAG] haya kwa kuungwa mkono na wapumbavu wachache ambao wanadhani ukifanya kosa ukashughulikiwa, kosa linawekwa kando na siasa kuwa agenda kuu,,,,, napambana na hali yangu
 
Hao DW ni wapuuzi kama wupuuzi wengine

wasisahau uchumi wa magharibi ulijengwa na

Pyracy Plundering and Rooting wasijifanye

wao ndio wastaarabu pumbav zao
Na wale wapinzani 38 wamewekwa ndani kwa sanabu zipi??

Je Tundu Lissu hajapigwa risasi kutokana na misimamo yake ya kisiasa??

Penye ukweli lazima tuuseme, huyu jamaa ni "dikteta uchwara" fulani vile......

Wanaoendelea kumshabikia huyo jamaa ni wakolomije wenzie tu basi!
 
Huwa wanatumia njia hizi hizi kuchafua,,,,nchi nyingi za kiafrika zimeingia kwenye matatizo kwa sababu ya mambo haya [HASHTAG]#Wanafanikisha[/HASHTAG] haya kwa kuungwa mkono na wapumbavu wachache ambao wanadhani ukifanya kosa ukashughulikiwa, kosa linawekwa kando na siasa kuwa agenda kuu,,,,, napambana na hali yangu
Jifanye wewe ni mmoja ya wale walioko mahabusu au ndugu yao na hakimu akidai anaumwa!
Sisi wengine hata kwenye siasa hatumo na tunapambana na hali zetu hata zaidi yako.
 
Back
Top Bottom