Uchaguzi 2020 Kuna watu wanaishi kwa raha sana nchi hii | poleni Wasanii wetu kwa lawama

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
Hapo majuzi kuna wajinga walianza kulaumu wasanii wa Tanzania na kusifia wa Nigeria yani nikimsikia mtu huyo matusi yote duniani yatakuwa halali yake.

Msanii hawezi kuanzisha maandamano bali akiona Wananchi wanaandamana na yeye anaweza kujiunga. Tanzania ni hodari sana kulia lia kwenye mitandao lakini ni muoga sana unataka hao wasanii waende front wao hawaogopi? Acheni ujinga! Anza wewe afu wasanii watakuja tu.

Kitu ambacho nimegundua kuna watu wanaishi kijijini,hawana simu za smartphone hawaijui twitter wao ni radio tu na sio muda wote. Anaanzaje kuumia na matokeo ya uchaguzi?

2017 mpaka 2019 sikua na twitter wala instagram niliishi vizuri sana siku nafatilia siasa yan huwezi kuumia na chochote lakini ukianza kujiingiza huko lakzima upandwe na hasira tu.

Siasa za kiafrika mbaya sana tuna mi5 tena na huenda ikawa hivyo mpka mwisho wa dunia na vile sasa hakuna mtu wa kusema wala kuwakilisha wananchi tena.

Tutaisoma namba.
 
Wewe ni Msanii bwashee!! Naona hutaki kusikia kabisa Wasanii mkiongelewa kwa namna yoyote ile. Ni wakati sasa wa kuhesabia mabunda yenu ya noti mliyovuna wakati wote wa kampeni za chama chenu pendwa cha CCM.

Zikiisha, basi karibuni sana kitaa ili tuendelee kupambania maisha.
 
Unaishi kwa furaha sababu ni maskini wa akili na hela. Hahaha unadhani serikali inajishughulisha na maskini? Ili iweje? Anzisha biashara uwe competitor wa business zao uone watakachokufanya, we unaishi dunia nyingine huwezi jua repressive governments zilivyo, kua na hela au smart utaona serikali inavyokuandama.

Pole sana, sio kosa lako ni level tofauti tu
 
Kwahiyo hata kupost Zanzibar Lives Matter mpaka wanancgi waanze.

Acheni visingizio, misanii ya bongo ni kama mikongo KULA NA MADIKTETA
 
Kwaio unataka kufanyaje sasa? Umebak ukilia lia hapa tu kama imekuuma jitoa uoga uingie rodi
Unaishi kwa furaha sababu ni maskini wa akili na hela. Hahaha unadhani serikali inajishughulisha na maskini? Ili iweje? Anzisha biashara uwe competitor wa business zao uone watakachokufanya, we unaishi dunia nyingine huwezi jua repressive governments zilivyo, kua na hela au smart utaona serikali inavyokuandama.
Pole sana, sio kosa lako ni level tofauti tu
 
Mimi sio mtabiri ila ukweli ulikuwa huo. Hivi mtaacha kulilia kwenye mitandao lini?
 
Kimsingi mtu maskini hana analoathiriwa sana na serikali..yeye akishiba dona na maharage anabaki kujampa mashuzi tu siku zinaenda na ndo wanaopiga kura kwa wingi..

Nikipewa kazi ya kutengeneza katiba mpya wapiga kura itakuwa ni watu wenye kipato cha kati cha juu na wenye elimu tu
 
Back
Top Bottom