Uchaguzi 2020 CCM Karatu yarejesha Halmashauri baada ya miaka 20

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,763
4,327
Wagombea wa udiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) katika Kata tisa kati ya 12 ambazo kura zimemaliza kuhesabiwa wametangazwa kushinda.

Akizungumza na mwandishi msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Moris Waziri amesema sasa wanasubiri matokeo ya kata tatu tu ambazo wanakamilisha kuhesabu.

Amesema kata ambazo wanakamilisha kuhesabu ni pamoja na Karatu mjini na muda si mrefu watakamilisha.

Waziri amesema madiwani wawili katika jimbo hilo wa CCM walipita bila kupingwa.

“Tunaendelea kuhesabu kura za ubunge yakikamilika tutatangaza matokeo,” amesema.
 
KUBWA: CCM Karatu yarejesha halmashauri baada ya miaka 20.

Wagombea wa udiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) katika Kata tisa kati ya 12 ambazo kura zimemaliza kuhesabiwa wametangazwa kushinda.

Akizungumza na mwandishi msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Moris Waziri amesema sasa wanasubiri matokeo ya kata tatu tu ambazo wanakamilisha kuhesabu.

Amesema kata ambazo wanakamilisha kuhesabu ni pamoja na Karatu mjini na muda si mrefu watakamilisha.

Waziri amesema madiwani wawili katika jimbo hilo wa CCM walipita bila kupingwa.

“Tunaendelea kuhesabu kura za ubunge yakikamilika tutatangaza matokeo,” amesema.
Uwiiiii.....
 
Mwaka huu campaign za Magufuli alizifanya tofauti sana. Sehemu zote alikuwa anapita na kuzungumza kwa mamlaka kama Rais huku akisisitiza kwamba hatoleta maendeleo kama hawatochagua mbunge wa CCM

Yaani akipita sehemu anauliza mapema shida kuu ya sehemu husika ni nini (maji? Lami? Umeme? Etc) then anatumia hiyo shida “kuwatishia” wananchi.

Ukichanganya na wizi wa kura, mbinu hii somehow imefanya kazi.
 
Nyie mkajaza masanduku yenye kura feki.
Najiuliza hii imewezekanaje?

Kuna majimbo Magufuli kapata kura 71,000 na Lissu kapata kura 3000. Sasa kama Magufuli aliwekewa kura feki, za Lissu za halali walizinyofoa kutoka kwenye mabox yale?
 
Watanzania kadiri muda unavyozidi kwenda ndo wanakuwa wajuzi wa Mambo hususani katika maendeleo Yao.

Wameamua kuchagua maendeleo na kuachana na propaganda.

Watanzania wanarudisha imani kwa Serikali
Pongezi kwa John Pombe Magufuli, kazi alizofanya zimewagusa watanzania walio wengi
 
Wagombea wa udiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) katika Kata tisa kati ya 12 ambazo kura zimemaliza kuhesabiwa wametangazwa kushinda.

Akizungumza na mwandishi msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Moris Waziri amesema sasa wanasubiri matokeo ya kata tatu tu ambazo wanakamilisha kuhesabu.

Amesema kata ambazo wanakamilisha kuhesabu ni pamoja na Karatu mjini na muda si mrefu watakamilisha.

Waziri amesema madiwani wawili katika jimbo hilo wa CCM walipita bila kupingwa.

“Tunaendelea kuhesabu kura za ubunge yakikamilika tutatangaza matokeo,” amesema.
Kwa nini wanajisumbua kuhesabu?

Amandla...
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom