Uchaguzi 2020 Hii inaonesha ni jinsi gani hata Watanzania wameshapoteza imani na demokrasia ya vyama vingi jinsi inavyopelekwa hapa kwetu

Dec 13, 2012
67
352
Waliojiandikisha jimbo la Geita ni watu 148,360

Waliojitokeza kupiga kura ni watu 49,700

Watu zaidi ya 98,000 hawajapiga kura

Uthibitisho ya kwamba, Watanzania walio wengi wamechoshwa na haya mambo ya kuhangaishwa kisha maamuzi yao kupingwa na walio wachache.

Waliojiandikisha wengi wamefanya hivyo kwa ajili ya kupata vitambulisho tu ndio mana hawajaenda kupiga kura.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kuna watu waliokufa, kuna watu wameondoka maeneo waliyoandikishia ila kweny mfumo wa nec bdo wanasomeka wapo eneo lile lile, jumlisha na watu wasio ona umuhimu wa kuvote.
 
Back
Top Bottom