Sababu gani zimesababisha anguko kuu la CCM mwaka huu wa Uchaguzi ambazo zimepelekea kupoteza dira

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,934
3,805
Sasa si siri tena anatafutwa mchawi ndani ya CCM,kila uchwao utasikia Chakubanga na Bushiri wanalalamika ,wakipiga makelele kila kona ya Tanzania kuwaonya CCM wasiojulikana.

Jamani hivi yupo asiezielewa sababu ya CCM kukataliwa na wananchi walio wengi, Chakubanga na Bushiri wanajikuta wanazidi kubakia peke yao na mgombea wao wakihangaika nae ,maana kila wanapoziba hakuzibiki tena.

Mkigusia tu baadhi ya sababu ambayo ni kubwa kushinda zote ni Watanzania kuingia woga,vifo vya watu wanaojulikana kupotea na serikali ya CCM wanashindwa kutoa hata maelezo ,hata kuvitaja kutoka kwenye midomo yao,hawajasikikapo,ndani ya serikali ya CCM wanaogopana kupita maelezo, kila mtu anajiogopea kivyake kila anachokiona inabidi uufyate.na yeye akifanya lake haguswi.

Uchumi wa mwananchi umeanguka vibaya sana, labda wabunge wa CCM na jamaa zao tu.

Jingine ni unyanyasaji na unyanyapaa kwa kutumia nembo na kivuli cha serikali ya ccm,viongozi wa ccm wanatesa kwa zamu, nchi, mkoa, wilaya, vitongoji, vijiji .

CCM imeshavugika kuendelea kung'ang'ania madaraka ni kuipeleka nchi kubaya.
 
Kuna mgogoro mkubwa unafuka ndani ya CCM nadhani miti yote inateleza sasa ni wakati wa kuipiga ccm teke la mwisho iende zake huko kwani viongozi wa CCM sasa wanafanya umafia kwa wananchi na hali za maisha zimekuwa ngumu sana.
 
Kuna mgogoro mkubwa unafuka ndani ya CCM nadhani miti yote inateleza sasa ni wakati wa kuipiga ccm teke la mwisho iende zake huko kwani viongozi wa CCM sasa wanafanya umafia kwa wananchi na hali za maisha zimekuwa ngumu sana.
Ukiona coment zenu humu utafikiri mna cha maana kumbe mavi tu
 
Back
Top Bottom