Tunaposhangilia ushindi tuwe na staha

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,854
35,862
Mabibi na mabwana hayo ni maneno ya watu wenye hekima zao. Tushangilie kwa staha. Tusiwakere wengine.

IMG_20201030_083300_014.jpg


IMG_20201030_083333_134.jpg


Japo ka sare sare maua, lakini bado ushauri upo kuntu.

Tuzingatie.
 
Kamati ya amani nao wako wapi?

Tupeane maneno ya faraja wandugu yenye kujenga hata kama (ha)pana majizi yaliyo tufikisha hapa.

Kuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi.
 
Ajabu na kweli ni kuwa ile copy and paste aka sare sare maua hiyo ina wakera mno hata wa kile chama chenyewe. Kukosa ujasiri tu wa kuikana.
 

Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali
 

Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali

Labda kama laana ya slaa imezaa kuibiwa kwa uchaguzi huu.
 
Si unajua hizi lugha za "akuna", "apana", "apa badala ya hapa" nk ni lugha za wale kina nanihii. Kama si mmoja wao hazikufai.
Mi sijakuelewa quotetion yako.
ila utakavyoelewa wewe ndo ivyoivyo bwashee.
 
hamna kitu kigumu kama ku cook digits/numbers bora u cook love story/essay kitabu kizima, wale wa ma projects, data analysis, research mtakuwa mmenielewa hahahaha
 
hamna kitu kigumu kama ku cook digits/numbers bora u cook love story/essay kitabu kizima, wale wa ma projects, data analysis, research mtakuwa mmenielewa hahahaha

Hakipo rahisi kama kukaa katika kweli na haki.
 
Back
Top Bottom