Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana...
109 Reactions
358 Replies
39K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dodoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Niliahidi kuwa nitarejea JF baada ya uchaguzi Tuonane baada ya uchaguzi Oktoba 28 kwenda viwanjani, maofisini, vijiweni, mashuleni, vijijini, nyumba za ibada, nikisafiri kwa usafiri wa jamii...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Yaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka. Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna...
29 Reactions
250 Replies
21K Views
Nikiwa mwanaCCM kindakindaki nimepokea kwa furaha lakini kwa tahadhari kubwa haya matokeo ya Uchaguzi mkuu uliofanyika 28 Oktoba 2020. FURAHA Ni wazi Chama Cha Mapinduzi kilijikita kwenye kunadi...
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Wanabodi, Uongo ukisemwa sana na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, mwisho wake hugeuka ukweli, baada ya kutokukemea magazeti ya nje kuandika uongo kumhusu rais wetu na kumuita majina ya...
28 Reactions
327 Replies
63K Views
Nguzo za Nchi bye bye Chama cha CCM kimeshinda kwa kishindo uchaguzi wa 2020. Kama ndio hivyo basi, kupeleka majeshi Zanzibar pamoja na baadhi ya maeneo ya Tanzania bara yenye upinzani ni ishara...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi, Huu ni uzi kuhusu kitu kinachoitwa "trend Reading" kwa jina la Kiswahili ni "kusoma mielekeo". Katika uzi huu, nazungumzia mielekeo ya Kisiwa cha Pemba, kilichokuwa ngome kuu ya CUF...
7 Reactions
63 Replies
11K Views
Ndugu Zitto, Lissu, Mbowe na Wapinzani wengine mnapoteza muda kupigana Vita, kwa kisingizio kuwa mnapigania haki kwa ajili ya Watanzania. Watanzania hawana muda na nyie kama hamjui ndio maana...
18 Reactions
47 Replies
5K Views
Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais...
136 Reactions
396 Replies
58K Views
Wanabodi, Hii ni thread ya swali kuhusu hili Jarida la Economics, Jee Tunaliogopa Jarida Hili?, kila likiandika kuhusu Tanzania, ni kuangazia mabaya tuu, inamaana kwenye Tanzania yetu, hakuna...
35 Reactions
321 Replies
41K Views
Inabidi sasa tuuseme ukweli huu, Kipindi kilichopita CHADEMA ilishaanza kushamiri sana maeneo mengi nchini, kuanzia Arusha, Dar es salaam ,Mbeya ,Bukoba mjini na Karagwe, Lakin Tuwe wawazi muda...
16 Reactions
80 Replies
8K Views
Mavunde wa Dodoma mjini akifukuzwa na wananchi mara baada ya kuiba kura na kutangazwa mshindi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unaweza kusema kuwa KM wa CHADEMA ndugu John Mnyika aliona mbali sana na akaaumua kuachana na kugombea Ubunge. Najiuliza: ¹.Je, aliridhishwa na kazi nzuri iliyofanywa na CCM jimboni kwake? ² Je...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1.Kususia uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika 24 Novemba 2019. Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika November 2019 ulikua msingi muhimu wa uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 28 Octoba...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
1. Dr. Tulia Akson-wizara inayohushu Mambo ya katiba na Sheria. 2. Ally Kessy - Mbunge aliyetumikia bunge liliopita, anaweza kuwekwa Mbunge wa kuteuliwa. 3. Pascal Mayalla - kwa uandishi wake...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Askari walivyokamata mabegi ya kura zilizopigwa nje ya kituo na kutaka kupitishwa kwa njia za panya ndani ya vituo vya kupiga kura, wasema kuna defender limejaa mabegi ya kura kama hizo. Hizo...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Kuna watu wanaibuka wanasema sema oo mara 2020 oo mara atolewe, huo ni mitazamo ya kitoto sana, na ya watu wasiojua kucheza siasa za nchi hii, Kuna watu wanadanganyana beti oo mara fulani ni...
20 Reactions
90 Replies
8K Views
Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao...
5 Reactions
157 Replies
18K Views
Huyu Rais anatakiwa kupigwa "stop" haraka sana bila hivyo kuna hatari ya bunge kujikuta likiwa na wabunge sio zaidi ya watano kutoka vyama vya upinzani baada ya Uchaguzi Mkuu 2020! Siwezi...
8 Reactions
111 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…