Uchaguzi 2020 Orodha kamili ya ambao hawatarudi Bungeni 2020 hii hapa

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao wajipange kisaikolojia kuhusu kutetea viti vyao 2020:-

1. Mh Nape

2. Mh. Ngeleja

3. Mh Kitwanga

4. Mh. Lusinde (Kibajaji)

5. Mh. Maghembe

6. Mh. Bashe

7. Mh. Nkamia

8. Mh. Sadifa

9. Mh. Simbachawene

10. Mh. Muhongo

11. Mh. January Makamba

12. Mh. Anna Tibaijuka

14. Mh. Kessi Ally

15. Mh. Badweli

Waanze kujiongeza kuepuka aibu.Huwezi kuchukua viraza wakati wasomi wapo majimboni!
 
Si kwamba hawatarudi bungeni bali watanyimwa fursa za kukiwakilisha CCM kwenye uchaguzi.. Itoshe kusema kuwa CCM kama chama hakina nguvu tena na hakiwezi kusimamia katiba na taratibu walizojiwekea na hii inatokana na msukumo wa mwenyekiti aliyepoka madaraka yote ndani ya chama.
 
Embu fafanua kirefu mwenyekiti wao kapokaje madaraka!!!?kakuambia ama umeishughurisha mikono yako bila kushirikisha ubongo wako!?
 
Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao wajipange kisaikolojia kuhusu kutetea viti vyao 2020:-

1. Mh Nape

2. Mh. Ngeleja

3. Mh Kitwanga

4. Mh. Lusinde (Kibajaji)

5. Mh. Maghembe

6. Mh. Bashe

7. Mh. Nkamia

8. Mh. Sadifa

9. Mh. Simbachawene

10. Mh. Muhongo

11. Mh. January Makamba

12. Mh. Anna Tibaijuka

14. Mh. Kessi Ally

15. Mh. Badweli

Waanze kujiongeza kuepuka aibu.Huwezi kuchukua viraza wakati wasomi wapo majimboni!
Tutajie na wabunge wa Chadema basi.
 
Kwa uwezo wa Tume ya uchaguzi na gesi retu ra police tutarudimo. Ishara
 
Back
Top Bottom