Ushauri murua wa Dkt. Slaa dhidi ya vyama vya Upinzani Nchini

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
571
1,000
Clip hii hapa chini anaongea Dr Wilbroad Slaa kuviaasa vyama vya Upinzani kuhusu namna ya kubadilika kisera la sivyo Dr John Pombe Magufuli atawapoteza maana yeye #JPM amegusa hizo haki zote za msingi zenye kumgusa mwananchi

Ewe mwananchi popote ulipo epuka ushawishi wa maandamano yoyote yale

Tumuache Mh Rais Dr John Pombe Magufuli atupeleke kule Kaanani ambako siku za nyuma vyama vya Upinzani vilikuwa wanaotaji

tufike
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom