Kuanzia sasa wabaya wangu sio CCM bali ni vijana!

hipocampus

Member
Sep 14, 2020
89
104
Moja kwa moja kwenye Mada nitasalimia baadae.

Binafsi nilikuwa moja ya wasisimamizi wa uchaguzi katika nafasi kubwa ya "OBSERVER MKUU" kwenye uchaguzi huu hivyo nilikuwa nakagua karibu kila kituo cha kata na majimbo mbalimbali.

Nikiri kabisa Sarakasi zilikuwepo na mie mwenyewe nimeshuhudia ila huna cha kufanya kwa kuwa ni agizo kutoka juu.

Kilichonifanya nije hapa ni juu ya hawa vijana ambao ukikutana nao mitaani wanalalamika kwamba maisha ni magumu na kweli namagumu.

Japo mie nina ajira ya serikali nilijitahidi sana kuyaeleza haya vijana umuhimu wa kujtokeza kupiga kura hata kama yanaona yataibiwa na tume ila kura yao ilikuwa na umuhimu yani "msg sent"hata kama watakuuibia ila Msg ingefka kwa watawala na kwa kuwa wao wana matatizo mengi basi ingesaidia.

Sasa kipindi natembelea vituoni nilikereka sana yaani utakuta kituo cha watu 1000 lakini waliopiga kura n 80 ,na ktk hio namba VIJANA n kumi tu na namba iliyobak n Mazee, Mabibi na mijanamke iliyopewa mikopo ya halmashauri.

VIJANA wengi walikuwa mtaani na wengne walikuwa wanawaleta hayo Mazee yenye damu ya MaCCM kwenye vituo na bodaboda kisha hayo bila Soni yanasepa! Ukiyauliza yanakwenda wapi Hayana Majibu yanachekacheka tu yanafikiri haya mambo hayawahusu!

Nilichoamua tokea juzi kwa hawa VIJANA sitawaonea tena huruma hata kama yakija kunilalamikia kuhusu hali zao za maisha kwa sababu hayajielewi.

Tokea juzi nimeyakatia mawasiliano HayA mAvijana kule bar yakinikuta hakuna tena Bia za bure, zile weita za weita wape kama walivyo hakuna tena! Si yanapenda Sigara siyapi kimsing nimeyakatia Umeme kila mahari Na Mavijana waliopanga kweny Nyumba zangu nayapandishia Kodi! Nayaona kama wachawi wangu tu!

Sasa Leo yananiuliza Mr. Hipocampus mbon umebadilika ghafla nayajibu na bado nitabadilika zaidi ya yule reptilie Chameleone, hovyo kabisa haya Mavijana Mdomo tu ila kwenye kupiga kura Hayapo!

RASMi sasa WABAYA WANGU SIO MaCCM BALI n haya VIJANA hasa yale oya naomba jero nikaunge kwa mangi!

NAOMBA wana JF wote Mnisupport katika Vita yangu hii na haya mavijana.

NAOMBA niwasalimie sasa. Salaam!
 
Hakika inasikitisha sana... Vitendo sifuri wakisubiria miujiza...

Cc: mahondaw
Inauma sana Mkuu ..ukizingatia wao ndio waathirika wakuu wa serikali ..wao ndio wanataka ajira ,wao ndio nguvu kazi shambani wanahitaji sera za kilimo nk ..kazi kulalama kama kuku aliyetaga yai tena kayai chenyew kadogo ..haya kapigen kura Hayapo ! Inaumaa
 
Tuliwaambia haya toka mwanzo kwamba mnajaza nyomi la zaidi ya watu elfu 10 kwenye mikutano ya NI YEYE lakini ki ukweli hamna wapiga kura mkawa mnatutukana.

Viongozi wenu waliwahamisha sana mgomee kujiandikisha/kurekebisha taarifa zenu kwenye daftari la wapiga kura lakini mkatuona sisi mazuzu, na wengine wakasema kwa majigambo eti NI YEYE atapigiwa kura na wana CCM waliomchoka JPM......
 
Vijana wa leo ni tofauti sio wajinga kama unavyodhani ni bora wasipige kura kabisa kuliko ku support kitu wasichokiamini.

Yaani wewe kutwa kusifia mabeberu na kutaka kuona nchi yako inawekewa vikwazo halafu utake vijana wazalendo wakuunge mkono.

Upande kwenye majukwaa utoe ahadi zisizo tekelezeka halafu utake uungwe mkono, ina maana umewaona watanzania mazuzu.

Uhamasishe fujo halafu utake uungwe mkono.

Upinge investments ambazo zinawagusa watu moja kwa moja halafu utake uundwe mkono.

Vijana sio wajinga, ni uongozi wa CDM ndio upo out of touch. Kijana anaona bora asipige kura kuliko kupoteza muda wake ku support viongozi walaghai.

People are not stupid as you seem to believe.
 
Moja kwa moja kwenye Mada nitasalimia baadae.

Binafsi nilikuwa moja ya wasisimamizi wa uchaguzi katika nafasi kubwa ya "OBSERVER MKUU" kwenye uchaguzi huu hivyo nilikuwa nakagua karibu kila kituo cha kata na majimbo mbalimbali.

Nikiri kabisa Sarakasi zilikuwepo na mie mwenyewe nimeshuhudia ila huna cha kufanya kwa kuwa ni agizo kutoka juu.

Kilichonifanya nije hapa ni juu ya hawa vijana ambao ukikutana nao mitaani wanalalamika kwamba maisha ni magumu na kweli namagumu.

Japo mie nina ajira ya serikali nilijitahidi sana kuyaeleza haya vijana umuhimu wa kujtokeza kupiga kura hata kama yanaona yataibiwa na tume ila kura yao ilikuwa na umuhimu yani "msg sent"hata kama watakuuibia ila Msg ingefka kwa watawala na kwa kuwa wao wana matatizo mengi basi ingesaidia.

Sasa kipindi natembelea vituoni nilikereka sana yaani utakuta kituo cha watu 1000 lakini waliopiga kura n 80 ,na ktk hio namba VIJANA n kumi tu na namba iliyobak n Mazee, Mabibi na mijanamke iliyopewa mikopo ya halmashauri.

VIJANA wengi walikuwa mtaani na wengne walikuwa wanawaleta hayo Mazee yenye damu ya MaCCM kwenye vituo na bodaboda kisha hayo bila Soni yanasepa! Ukiyauliza yanakwenda wapi Hayana Majibu yanachekacheka tu yanafikiri haya mambo hayawahusu!

Nilichoamua tokea juzi kwa hawa VIJANA sitawaonea tena huruma hata kama yakija kunilalamikia kuhusu hali zao za maisha kwa sababu hayajielewi.

Tokea juzi nimeyakatia mawasiliano HayA mAvijana kule bar yakinikuta hakuna tena Bia za bure, zile weita za weita wape kama walivyo hakuna tena! Si yanapenda Sigara siyapi kimsing nimeyakatia Umeme kila mahari Na Mavijana waliopanga kweny Nyumba zangu nayapandishia Kodi! Nayaona kama wachawi wangu tu!

Sasa Leo yananiuliza Mr. Hipocampus mbon umebadilika ghafla nayajibu na bado nitabadilika zaidi ya yule reptilie Chameleone, hovyo kabisa haya Mavijana Mdomo tu ila kwenye kupiga kura Hayapo!

RASMi sasa WABAYA WANGU SIO MaCCM BALI n haya VIJANA hasa yale oya naomba jero nikaunge kwa mangi!

NAOMBA wana JF wote Mnisupport katika Vita yangu hii na haya mavijana.

NAOMBA niwasalimie sasa. Salaam!
Vijana kuwa hivyo sio tafsiri ya hao mabazazi wasiibe kura!.. wewe ni pimbi! Inafaa nini kupiga kura huku ukijua tume si huru!,yafaa nini kupiga kura kama wakurugenzi walitamkiwa kauli ile ya kibabe!.. yafaa nini kupiga kura kama mawakala wengine hawakupewa barua kimakusudi.. yafaa nini kupiga kura kama hakuna uhakika wa usalama wa kura zenyewe masanduku yabwebwe yapelekwe huko what is what..?

Kama utawalalamikia vijana utasema nini kwa wazee wanaoturithisha taifa lililooza! Liwaozee wao mzigo mtupe sie! Kama hao wazee kutatua matatizo ya tume huru,uwajibikaji,uzalendo n.k kura yako itaenda kufanya nini kwenye viungo vilivyooza..?
 
Moja kwa moja kwenye Mada nitasalimia baadae.

Binafsi nilikuwa moja ya wasisimamizi wa uchaguzi katika nafasi kubwa ya "OBSERVER MKUU" kwenye uchaguzi huu hivyo nilikuwa nakagua karibu kila kituo cha kata na majimbo mbalimbali.

Nikiri kabisa Sarakasi zilikuwepo na mie mwenyewe nimeshuhudia ila huna cha kufanya kwa kuwa ni agizo kutoka juu.

Kilichonifanya nije hapa ni juu ya hawa vijana ambao ukikutana nao mitaani wanalalamika kwamba maisha ni magumu na kweli namagumu.

Japo mie nina ajira ya serikali nilijitahidi sana kuyaeleza haya vijana umuhimu wa kujtokeza kupiga kura hata kama yanaona yataibiwa na tume ila kura yao ilikuwa na umuhimu yani "msg sent"hata kama watakuuibia ila Msg ingefka kwa watawala na kwa kuwa wao wana matatizo mengi basi ingesaidia.

Sasa kipindi natembelea vituoni nilikereka sana yaani utakuta kituo cha watu 1000 lakini waliopiga kura n 80 ,na ktk hio namba VIJANA n kumi tu na namba iliyobak n Mazee, Mabibi na mijanamke iliyopewa mikopo ya halmashauri.

VIJANA wengi walikuwa mtaani na wengne walikuwa wanawaleta hayo Mazee yenye damu ya MaCCM kwenye vituo na bodaboda kisha hayo bila Soni yanasepa! Ukiyauliza yanakwenda wapi Hayana Majibu yanachekacheka tu yanafikiri haya mambo hayawahusu!

Nilichoamua tokea juzi kwa hawa VIJANA sitawaonea tena huruma hata kama yakija kunilalamikia kuhusu hali zao za maisha kwa sababu hayajielewi.

Tokea juzi nimeyakatia mawasiliano HayA mAvijana kule bar yakinikuta hakuna tena Bia za bure, zile weita za weita wape kama walivyo hakuna tena! Si yanapenda Sigara siyapi kimsing nimeyakatia Umeme kila mahari Na Mavijana waliopanga kweny Nyumba zangu nayapandishia Kodi! Nayaona kama wachawi wangu tu!

Sasa Leo yananiuliza Mr. Hipocampus mbon umebadilika ghafla nayajibu na bado nitabadilika zaidi ya yule reptilie Chameleone, hovyo kabisa haya Mavijana Mdomo tu ila kwenye kupiga kura Hayapo!

RASMi sasa WABAYA WANGU SIO MaCCM BALI n haya VIJANA hasa yale oya naomba jero nikaunge kwa mangi!

NAOMBA wana JF wote Mnisupport katika Vita yangu hii na haya mavijana.

NAOMBA niwasalimie sasa. Salaam!
Mkuu Salam nyingi kwako,

Na hao ndio wale wengi waliompa moyo Lisu kumbe wanamuingiza cha Kike.

Vijana uliotuona vituoni ndio wale tunamuelewa Magufuli na tuliona tusingejisamehe kama tungeacha hii dhahabu ipotee.

Wapinzani kama mtaji wenu ni vijana hao wasiopiga jura wapeni elimu ya uraia ila mtambue CCM itaenda kutafuta njia nzuri kuwashawishi vijana wawe wapiga kura zao na hapo mtakuwa mmechelewa tena.

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Wewe ndio uliye uliza swali leo kutokea darmpyatv mmaaeeee! Leo nimejiondoa kwenye Darmpyatv aliuliza swali la kijinga linalo lingana na hili!
Kwani wazee walio piga kura wapo CCM wote jinga kabisa www
 
We sema tu unawatetea ssm kwa udhalimu walioufanya kwa kulazia kwa vijana. Shame on you mataga

Kama kweli uchaguzi ulikuwa halali nguvu yote hiyo ya polisi ilikuwa ya nn.

Any ways we wapandishie tu kodi lkn hata ndugu zako huku watapandishiwa vivo hivyo.
NDUGU hoja yangu ya msingi sio kutetea MaCCM wala kutetea mipolisi bali n kuhusu ushiriki wa MAVIJANA katk uchaguz huu ambao wao ndio waathirika wakuu ..

Pamoja na sarakasi(agizo kutoka juu) ila MAVIJANA yamechangia kwa kiasi kikubwa sana kuhalalisha uovu huu ..hata kama kuna kizingiti ila Kura yako ilikuwa "Msg" tosha kwa watawala waendeje
 
Tuliwaonya humu kwamba Lisu hapati zaidi ya 20% mkawa wabishi.

Sasa hvi mnahamisha magoli?

Mwishowe adui utajikuta ni wewe mwenyewe sijui utajiua
 
Tuliwaambia haya toka mwanzo kwamba mnajaza nyomi la zaidi ya watu elfu 10 kwenye mikutano ya NI YEYE lakini ki ukweli hamna wapiga kura mkawa mnatutukana.

Viongozi wenu waliwahamisha sana mgomee kujiandikisha/kurekebisha taarifa zenu kwenye daftari la wapiga kura lakini mkatuona sisi mazuzu, na wengine wakasema kwa majigambo eti NI YEYE atapigiwa kura na wana CCM waliomchoka JPM......
Yan kina Lisu wanapoteza muda tu kuyapigania haya Mavijan ..kwenye kura hawapo kabisa mie n shahid ..
 
Wewe ndio uliye uliza swali leo kutokea darmpyatv mmaaeeee! Leo nimejiondoa kwenye Darmpyatv aliuliza swali la kijinga linalo lingana na hili!
Kwani wazee walio piga kura wapo CCM wote jinga kabisa www
Swali lilikuwa zuri tu sema Mbowe akapanic,

Na ili ujue uzuri wa lile swali subiri jumatatu
 
Vijana wa leo ni tofauti sio wajinga kama unavyodhani ni bora wasipige kura kabisa kuliko ku support kitu wasichokiamini.

Yaani wewe kutwa kusifia mabeberu na kutaka kuona nchi yako inawekewa vikwazo halafu utake vijana wazalendo wakuunge mkono.

Upande kwenye majukwaa utoe ahadi zisizo tekelezeka halafu utake uungwe mkono, ina maana umewaona watanzania mazuzu.

Uhamasishe fujo halafu utake uungwe mkono.

Upinge investments ambazo zinawagusa watu moja kwa moja halafu utake uundwe mkono.

Vijana sio wajinga, ni uongozi wa CDM ndio upo out of touch. Kijana anaona bora asipige kura kuliko kupoteza muda wake ku support viongozi walaghai.

People are not stupid as you seem to believe.
Wew utakuwa miongon mwa Wale mavijana sasa kama haujapiga kura unamkomoa nani ? .. au unafikir hayakuhusu? ..uchumi ukiwa hovyo kwa anayepewa mshahara unadhani wew kijana utakuwa salama jitambue kura yako n sauti ! ..usipopiga unampa uhakika mtawala atawale vibaya zaid ! ..
 
Back
Top Bottom