Ndugu zangu Great Thinkers hebu tujiulize haya yanayotokea na uhalali wake. Na sasa tufike mahali tuseme sote tena tukiwa na akili timamu kabisa pasipo shaka na pasipo ushabiki wowote kwamba...
Disturbed by reports of arrests and violence against political candidates and supporters. Protection of civilians is essential for peace and stability. Canada calls on the government of Tanzania...
Kalamu ya Baba Askofu Benson Kalikawe Bagonza
NDOA INAHITAJIKA...
Inahitajika ndoa ya dharula ILI maisha yarejee katika hali ya kawaida. Maharusi ni Bwana NGUVU na Bi HEKIMA. Kwa nini ndoa? Jibu...
Mgombea wa CCM jimbo la Kigoma mjini, Kilumbe Ng'enda ametangazwa mshindi baada ya kupata kura 27, 688 huku Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo akipata kura 20, 600. Akitangaza matokeo hayo msimamizi wa...
Siasa na Utawala
Profesa Rwekaza Sympho Mukandala anazungumzia kigezo muhimu na kikubwa cha siasa na uongozi na kubaki madarakani kwa muda muafaka, Ni je wananchi wanafuraha?
Prof. Mukandala...
Kwa mlioangalia press conference ya Ndugu Polepole jana mtagundua alikua hana ile furaha aliokuwa nayo kama press conference alizokuwa anafanya wakati wa kampeni.
Ile haikutakiwa kuwa press...
Kwa kifupi kabisa nina maswali mawili ambayo nataka majibu na si matusi.
Vyema pinzani vinapolalamikia kuwa time so huru, kwanini walikubali kushiriki uchaguzi ambao wanajua unasimamiwa na Tume...
Sasa dalili zinaonesha kwamba Dr. Tulia Ackson anaenda kuwa spika wa bunge jipya. Kwani?
Mshirika wa Spika Ndugai - Ali Kessy - ameshaadhibiwa kwa kupokwa ubunge wa Nkasi. Sasa ni zamu ya Ndugai...
Chama cha Demokrasia kimepita misukosuko mingi sana. mwenendo wa siasa za miaka mitano iliyopita, uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa uchaguzi mkuu ni sehemu tu ya misukosuko hiyo.
Tuendeleze...
Niende moja kwa moja kwenye heading hapo juu.Kwanza kabisa haya ni maono yangu BINAFSI yasiyofungamana na chama ila nikutokana na kuguswa kwangu tu na mustakabali wa Taifa langu pendwa lenye watu...
Habari wanajf, moja kwa moja niende kwenye mada husika.
Juzi wengi tulimsikia mgombea wetu akiweka msimamo mara mbilimbili kuhusu kuendelea na kampeni siku ya leo na kwa muktadha huo alikuwa...
Nawasalimu wanajukwaa,
Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwa minyukano ya hoja humu jukwaani kwa ustaarabu wa hali ya juu, hii inaonesha jukwaa bado lina watu makini sana.
Nikirudi kwenye mada...
Kama yasemwayo kuhusu mabeberu kutaka kusaidia kufanikisha mabadiliko yana ukweli wowote,binafsi naunga mkono kwasababu zifuatazo:
Wizi,rushwa ufisadi na kulindana
Kikundi hiki cha watu ndio...
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf...
Ni ukweli usio pingika ya kuwa tangu kuibuka kwa hoja ya Demokrasia nchi nyingi zimekuwa zikipata viongozi wabovu na wasio faa, historia ina mifano mingi ambayo haihitaji degree kuweza kufahamu...
Na Mwandishi Wetu
Mchawi wa upinzani Tanzania ni upinzani wenyewe. Viongozi wa upinzani hawawezi kukwepa kuwajibika kwa matokeo haya na kutafuta visingizio ikiwemo uchaguzi kuhujumiwa.
Isitoshe...
Nimezinyaka nyepesi nyepesi kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na ACT-Wazalendo wanapanga mkakati wenye nia ovu, eti kuanzia Jumatatu Novemba 2 mwaka huu wanapanga kuitisha...
Habari wana JF,
Poleni kwa wote ambao matokeo yamewaumiza.
Ipo hivi, kwenye mambo kama haya kuna kushinda na kushindwa hivyo ni vyema tukapunguza hasira na kuangalia tunafanyaje kwenye chaguzi...
Tukiachana na kukumbwa kwa demokrasia pamoja na unyama uliotokea katika uchaguzi wa 2020 hapa nchini Tanzania jingine la kujifunza ni SIRI nzito iliyokuwepo katika ya wananchi na upinzani.
Kwa...
Kulingana na hali ilivyo kisiasa kijamii kiuchumi Tanzania na Duniani kwa ujumla Ni mda sahihi sasa mchakato wa rasmu ya Mh Jaji J Walioba .Ilejeshwe maoni yangu .
Mchakato huo kwa kuwa rasmu ya...