Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama watumishi wa umma waliokuwa na vyeti feki walifutwa kazini hali kadhalika viongozi walioingia madarakani kwa kura feki waondolewe wote. Uchaguzi Mkuu urudiwe. Ulijaa wizi wa kura ngazi zote...
14 Reactions
40 Replies
3K Views
WATUHUMIWA 14 WAKAMATWA KUSHAWISHI MAANDAMANO YASIYO HALALI. Dar es Salaam- 03Novemba, 2020 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na oparesheni kali ya kukamata watu...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Katika mojawapo ya mahojiano aliyowahi kufanya miaka ya nyuma, Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipata kuulizwa anadhani nini hasa ilikuwa siri ya Baba wa Taifa la Tanzania, Julius Nyerere, kudumu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
3 November 2020 Ofisi ya Makao Makuu Chama cha NCCR-MAGEUZI Dar- es Salaam, Tanzania #LIVE NCCR MAGEUZI WATOA MSIMAMO WA CHAMA JUU YA UCHAGUZI MKUU NCCR-MAGEUZI ina uthibitisho kuwa mchakato...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Mtanzania Mwenzangu Kama Unasoma Ujumbe huu, fahamu kuwa nimeshikiliwa kituo kikuu cha Polisi Dar es salaam. Baada ya Viongozi wenzangu Kukamatwa kwa kudai Uchaguzi Mpya na Tume Huru za Uchaguzi...
24 Reactions
43 Replies
5K Views
Kiongozi wa Chama, cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe amekamatwa na kushikiliwa na Jeshi La Polisi baada ya kufika Kituo cha Polisi Oysterbay kuwaona Viongozi wa Vyama vya Upinzani waliokamatwa...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Kuna taarifa zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai aliyekuwa mgombea Ubunge katika Jimbo la Nachingwea kwa tiketi ya CHADEMA, Dkt Mahadhi Mmoto ameuawa. Usahihi: Kwa mujibu wa Kiongozi wa...
9 Reactions
33 Replies
6K Views
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar pamoja na eneo la Maruhubi kwa ajili ya kutafuta muwarubaini wa...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Maajabu ya uchaguzi yanaendelea, Lipumba akiwa anaongea na vyombo vya habari ameshangazwa na kitendo cha mgombea ubunge jimbo la Temeke kupitia chama anachokiongoza cha CUF, Zainab Mndolwa...
22 Reactions
72 Replies
9K Views
Binafsi nimevutiwa Sana na namna Rais Magufuli alivyoishape na kuiendeleza nchi yetu kwa kipindi cha miaka mitano alichokuwa madarakani. Kuna mambo mengi Sana ambayo kayafanya na yanaonekana kwa...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
HII CV INAJADILIWA KWENYE JUKWAA MOJA LA WASOMI. HEBU TUSHIRIKIANE NAO KIDOGO HAPA, IANGALIE KWA MAKINI Name: Hussein Mwinyi Surname: Mwinyi First Names: Hussein Ali Alternate Name Title: Dr...
9 Reactions
162 Replies
47K Views
Vyama halisia vya upinzani vipeleke maombi Jumuiya za Kimataifa na wahisani, watoe mbinyo wa kutosha ndani ya miezi michache uanze mchakato rasmi shirikishi. Kwa umoja na ustawi wa taifa letu...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Baada ya Watanzania kutafsiri kwa vitendo umuhimu wa maendeleo ya watu na vitu kumeibuka mjadala mpya wa eti kwa sababu wagombea wa ACT na CHADEMA hawajachaguliwa basi hakuna...
21 Reactions
114 Replies
8K Views
Takribani siku nne sasa huduma ya mawasiliano ya Internet imekuwa inapatikana kwa shida sana na wakati mwingine inakulazimu utumie visaidizi kama VPN n.k cha ajabu mamlaka zinazohusika zimekuwa...
7 Reactions
64 Replies
7K Views
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wamewashika watu watatu zaidi kwa tuhuma za kuwashawishi watu kuandamana. Walikamatwa ni pamoja na Baunsa wa aliyekuwa...
10 Reactions
231 Replies
22K Views
Andiko langu limechagizwa na habari hii ya gazeti la The Economist. How to save Tanzania Start by containing President John Magufuli. ================= Uchaguzi mkuu ujao ni kipimo na 'mtego'...
33 Reactions
67 Replies
9K Views
Anaandika... Troubled by events in #Tanzania. Serious allegations of irregularities and low number of observers undermine credibility of elections. Reported arrests of opposition leaders are...
14 Reactions
84 Replies
7K Views
Kuna tetesi kuwa mkuu wa wilaya ya arumeru ameagiza watumishi waketwe kuanzia shs 50000 toka kwenye mishahara yao kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa maabara mashuleni.hivi ni kweli? kama ndivyo basi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi nadhani itakuwa ni busara kwa Serikali kuwaachia Lissu na Hamad kufanya maandamano yao, tena iwape ulinzi mzuri na thabiti kusudi maandamano hayo yasiharibu mali za watu wengine. Ikiwezekana...
23 Reactions
75 Replies
7K Views
Karata mlioicheza sasa itazaa matunda, ilikuwa ni ngumu kuiaminisha jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi uliofanyika Tanzania mwaka huu uligubikwa na kasoro nyingi, ukizingatia waafrika wote...
21 Reactions
28 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…