Mbatia kuwa KUB sidhani kama utakuwa ni uamuzi wa busara!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,902
141,845
Sijajua utaratibu wa Nccr mageuzi ukoje namna ya kumchagua KUB kama watafanikiwa kuwa chama kikuu cha upinzani.
Kama wanatumia utaratibu kama wa Chadema basi Mbatia akishinda ubunge ndiye atakuwa KUB.

Binafsi kulikoni Mbatia kuwa KUB ni heri hata Augustino Lyatonga Mrema .

Niishie hapo Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mrema hayuko NCCR! na ili awe KUB ni lazima chama chake kiwe chama kikuu cha upinzani.
 
Kwani kuwa KUB siku hizi huko bungeni kunaangalia sheria zinasemaje? Sasa hivi utaratibu unatengenezwa hapo hapo kuendana na utashi wa rais. Rejea Mwambe kurudishiwa ubunge wake, na Lwakatare kuwa KUB. Maadam Magufuli anataka Mbatia awe KUB, basi atakuwa hata yeye pekee akiwa ndio mbunge wa NCCR.
 
Mkuu nawasikitikia sana hawa ccm kwani jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Tabibu anaweza kufariki na kumuacha Mgonjwa. Sasa waendelee kujipa moyo kwakuwa wana Amiri Jeshi Mkuu. Bila kujua Mapenzi ya Mungu juu ya Tanzania.
 
Kabla ya Chadema kujimilikisha kambi ya upinzani bungeni na kujiita Kambi Rasmi ya Upinzani, utaratibu wa kumpata KUB ulikuwaje?
 
Kabla ya Chadema kujimilikisha kambi ya upinzani bungeni na kujiita Kambi Rasmi ya Upinzani, utaratibu wa kumpata KUB ulikuwaje?
Cuf walimchagua KUB kwa kupiga kura.

Ilipofika kwa Chadema 2010 Zitto Kabwe aliutaka uKUB walipotaka kupiga kura Mbowe akaona atashindwa basi akabadili mfumo ili watumie utaratibu wa mabeberu ambapo kama mwenyekiti wa chama ni mbunge basi anakuwa KUB moja kwa moja.
Na hapo ndipo ulipoanzia ugomvi wa Zitto Kabwe na Mbowe!
 
Sijajua utaratibu wa Nccr mageuzi ukoje namna ya kumchagua KUB kama watafanikiwa kuwa chama kikuu cha upinzani.
Kama wanatumia utaratibu kama wa Chadema basi Mbatia akishinda ubunge ndiye atakuwa KUB.

Binafsi kulikoni Mbatia kuwa KUB ni heri hata Augustino Lyatonga Mrema .

Niishie hapo Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Uko sahihi maana Mbatia ana sexual orienration disorder au gender dysphoria. Hatuwezi kueleweka duniani kuwa na KUB ambaye ni mwanaume kwa suruali tu, nafuu Lyatonga Mrema
 
Cuf walimchagua KUB kwa kupiga kura.

Ilipofika kwa Chadema 2010 Zitto Kabwe aliutaka uKUB walipotaka kupiga kura Mbowe akaona atashindwa basi akabadili!

Basi utaratibu wa mwanzo utatumika, lakini kama kumbukumbu zangu zipo sawa ni kwamba KUB haikuhusisha chama chenye wabunge wengi bali wabunge wa upinzani wote walishiriki na walikua na haki ya kuchagua ama kuchaguliwa.
 
Back
Top Bottom