Hongera Rais Magufuli; Utashi wako wa kisiasa na uthubutu utaiweka Tanzania kwenye ramani ya nchi zenye uchumi imara

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,219
6,650
Unastahili heshima;

Wewe ni kiongozi imara;

Utashi wako wa kisiasa na uthubutu utaiweka Tanzania kwenye ramani ya nchi zenye uchumi imara

Una maono na malengo chanya ya maendeleo

Wewe ni mtetezi wa wanyonge

Mafisafi, wahujumu uchumi, wabadhirifu wa mali ya umma na wazembe, kwako hao ni maadui wa maendeleo - nafasi yako nyingine ya kuwatumbua

Wapinzani, kama mbwa mtiifu, wamefyata mikia

Kipindi chako cha pili ni mwendokasi ya maendeleo kwa miundombinu itakachochea kuboreka kwa huduma za jamii.

Malengo yaliyomo kwenye Ilani ya CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu, 2020, hakuna shaka yoyote yatafikiwa baada ya kuzoa zaidi ya 90% ya Majimbo na Kata, kwenye Uchaguzi Mkuu, 2020. Kwa mfano lengo la Katika miaka mitano ijayo, CCM itazisimamia Serikali zake ili ziendeleze juhudi za kuleta mageuzi ya kiuchumi kwa kuendelea kujenga Tanzania ya viwanda na uchumi fungamanishi, jumuishi na shindani unaotumia sayansi na teknolojia za kisasa na ambao unahimili utandawazi na unaoweza kutumia kikamilifu fursa zake kwa kuuza zaidi bidhaa za viwandani na bidhaa nyingine nje ya nchi. CCM inatambua fika kwamba ili kutimiza azma ya kujenga uchumi shindani wa viwanda na huduma, ni lazima kila Mtanzania afanye kazi kwa bidii, kujituma, na kutumia maarifa, hekima na ubunifu.

WAKATI NDIO HUU
KILA MTANZANIA ATIMIZE WAJIBU WAKE
 
Kwani maendeleo ni Hisani za CCM? au ni pesa za walipa kodi?
Hayo ni maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa au kambi za kuvuta ban. . . ..

Maana ya wilio anzisha siasa duniani na ambao tunajitahidi kuwafuata na hasa sisi tunao jinasibisha na Amsterdam ni:

Political election-- you vote to give power to a group of people to distribute resources and status on your behalf.

Pesa hata kama ulipewa na mjomba ukampa mama akuwekee unapo zihitaji , unaenda KUOMBA kwa mama ukupe pesa yako.
 
Yetu macho.. ila kumbuka hakuna jema linalosimama kwenye uovu.

Maisha yatakuwa tight sana miaka miwili inayokuja. Hilo nna uhakika nalo
 
Uchumi imara ni kuwapunja nyongeza za mishahara watumishi wa umma kwa mda wa miaka mitano?
Kama wewe si mfanyakazi wa Serikali au Taasisi zake usikurupuke kwa kuwa "hujui kama hujui". Mei Mosi 2021 tukutane hapa japo maslahi ya wafanyakazi yanaendelea kuboreshwa.
 
Kwani maendeleo ni Hisani za CCM? au ni pesa za walipa kodi?
Maendeleo ni pesa za walipa kodi ambazo matumizi yake yameonekana yakakubaliwa na wananchi. Wao wakathibitisha hilo kwenye sanduku la kura, Uchaguzi Mkuu, 2020.

Ruzuku pia ni pesa za walipa kodi ambazo hazijulikani zimetumikaje. Wananchi wamesikia na wameona wakawaadhibu walafi hao kwenye sanduku la kura, Uchaguzi Mkuu, 2020.
 
Unastahili heshima;

Wewe ni kiongozi imara;

Utashi wako wa kisiasa na uthubutu utaiweka Tanzania kwenye ramani ya nchi zenye uchumi imara

Una maono na malengo chanya ya maendeleo

Wewe ni mtetezi wa wanyonge

Mafisafi, wahujumu uchumi, wabadhirifu wa mali ya umma na wazembe, kwako hao ni maadui wa maendeleo - nafasi yako nyingine ya kuwatumbua

Wapinzani, kama mbwa mtiifu, wamefyata mikia

Kipindi chako cha pili ni mwendokasi ya maendeleo kwa miundombinu itakachochea kuboreka kwa huduma za jamii.

Malengo yaliyomo kwenye Ilani ya CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu, 2020, hakuna shaka yoyote yatafikiwa baada ya kuzoa zaidi ya 90% ya Majimbo na Kata, kwenye Uchaguzi Mkuu, 2020. Kwa mfano lengo la Katika miaka mitano ijayo, CCM itazisimamia Serikali zake ili ziendeleze juhudi za kuleta mageuzi ya kiuchumi kwa kuendelea kujenga Tanzania ya viwanda na uchumi fungamanishi, jumuishi na shindani unaotumia sayansi na teknolojia za kisasa na ambao unahimili utandawazi na unaoweza kutumia kikamilifu fursa zake kwa kuuza zaidi bidhaa za viwandani na bidhaa nyingine nje ya nchi. CCM inatambua fika kwamba ili kutimiza azma ya kujenga uchumi shindani wa viwanda na huduma, ni lazima kila Mtanzania afanye kazi kwa bidii, kujituma, na kutumia maarifa, hekima na ubunifu.

WAKATI NDIO HUU
KILA MTANZANIA ATIMIZE WAJIBU WAKE
Matokeo yasiyo na kona ijulikane yalikuwa hivi

CHADEMA. 7,534,301
CCM. 6,423,694
ACT. 269,002
CHAUMA. 94,691

UKWELI UTABAKI UKWELI HATA WAFICHE. TALLYING IMEISHA JANA

Sasa wewe mpongeze mwizi aendelee kukuibia
 
Wapinzani, kama mbwa mtiifu, wamefyata mikia

WAKATI NDIO HUU KILA MTANZANIA ATIMIZE WAJIBU WAKE
Mkuu mwengeso , kwanza naunga mkono hoja yako, ila ungeweza kumsifia Magufuli bila haja ya kutukana wapinzani na kuwafananisha na mbwa!.

Mimi ni kada wa CCM, na ni kweli CCM tumeshinda kwa kishindo kikubwa katika uchaguzi Mkuu huru na wa haki, tusherehee ushindi kwa staha, bila kuwadhihaki, kuwatukana wala kuwakejeli wapinzani, kwa kuwafananisha na mbwa, kwasababu hata hao wapinzani ni Watanzania wenzetu na wanepigiwa kura na Watanzania, ila kura zao, hazikutosha.

Tuwaheshimu, na kuwastahi tutumie lugha nzuri ya staha kuwapa pole kwa machungu ya kushindwa.

P
 
Unastahili heshima;

Wewe ni kiongozi imara;

Utashi wako wa kisiasa na uthubutu utaiweka Tanzania kwenye ramani ya nchi zenye uchumi imara

Una maono na malengo chanya ya maendeleo

Wewe ni mtetezi wa wanyonge

Mafisafi, wahujumu uchumi, wabadhirifu wa mali ya umma na wazembe, kwako hao ni maadui wa maendeleo - nafasi yako nyingine ya kuwatumbua

Wapinzani, kama mbwa mtiifu, wamefyata mikia

Kipindi chako cha pili ni mwendokasi ya maendeleo kwa miundombinu itakachochea kuboreka kwa huduma za jamii.

Malengo yaliyomo kwenye Ilani ya CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu, 2020, hakuna shaka yoyote yatafikiwa baada ya kuzoa zaidi ya 90% ya Majimbo na Kata, kwenye Uchaguzi Mkuu, 2020. Kwa mfano lengo la Katika miaka mitano ijayo, CCM itazisimamia Serikali zake ili ziendeleze juhudi za kuleta mageuzi ya kiuchumi kwa kuendelea kujenga Tanzania ya viwanda na uchumi fungamanishi, jumuishi na shindani unaotumia sayansi na teknolojia za kisasa na ambao unahimili utandawazi na unaoweza kutumia kikamilifu fursa zake kwa kuuza zaidi bidhaa za viwandani na bidhaa nyingine nje ya nchi. CCM inatambua fika kwamba ili kutimiza azma ya kujenga uchumi shindani wa viwanda na huduma, ni lazima kila Mtanzania afanye kazi kwa bidii, kujituma, na kutumia maarifa, hekima na ubunifu.

WAKATI NDIO HUU
KILA MTANZANIA ATIMIZE WAJIBU WAKE
Wewe ndio jibwa liitiifu,unaufyata kwa Schwarz wenu kila analosema mnaona kasema mungu,mmefikia kumtukiza mpaka kusema eti ananguvu za kuiondoa Corona Tanzania mbwa koko wewe usiojielewa mtaendeshwa kama matahira na huyo yesu wenu wa bandia
 
Mkuu mwengeso , kwanza naunga mkono hoja yako, ila ungeweza kumsifia Magufuli bila haja ya kutukana wapinzani na kuwafananisha na mbwa!.

Mimi ni kada wa CCM, na ni kweli CCM tumeshinda kwa kishindo kikubwa katika uchaguzi Mkuu huru na wa haki, tusherehee ushindi kwa staha, bila kuwadhihaki, kuwatukana wala kuwakejeli wapinzani, kwa kuwafananisha na mbwa, kwasababu hata hao wapinzani ni Watanzania wenzetu na wanepigiwa kura na Watanzania, ila kura zao, hazikutosha.

Tuwaheshimu, na kuwastahi tutumie lugha nzuri ya staha kuwapa pole kwa machungu ya kushindwa.

P
Mmeshinda au mmetangazwa?
 
Back
Top Bottom