CCM yampendekeza Ndugai kuwania nafasi ya Spika na Dkt. Tulia kuwania Unaibu Spika katika Bunge lijalo

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Kamati Kuu ya CCM imempendekeza Job Ndugai kuwa mgombea wa nafasi ya Spika wa Bunge lijalo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dk Tulia Ackson akipendekezwa kwa nafasi ya Naibu Spika

DEEB71DF-3777-4786-8657-B5AA9F063293.jpeg

7513808E-B70B-4FF4-8C65-8F959522BF7D.jpeg

56E4B2B6-1F59-4A4F-9837-15F744F9E177.jpeg

27B969C4-1064-4A2E-A89D-E2CC3E1FE23A.jpeg
 
Siyo kwamba anayehisi anakiweza hicho cheo agombanie, badala yake chama ndiyo kinapendekeza wa kuwania hicho viti?

Kwani wenyewe vigezo ni hao hao tu?

Cc: mahondaw
 
Wamechukua fomu kama kawaida na chama kimewaidhinisha!

Tofauti ni kuwa Wabunge wateule wa Chama tawala safari hawajapiga kura kama tulivyozoea

Kidumu chama tawala

Kama vile ambavyo kura za wananchi hazikuamua Washindi wa Ubunge Majimboni kama tulivyozoea, naona mnaendeleza tu tabia zenu za ajabu.
 
Siyo kwamba anayehisi anakiweza hicho cheo agombanie, badala yake chama ndiyo kinapendekeza wa kuwania hicho viti?

Kwani wenyewe vigezo ni hao hao tu?

Cc: mahondaw
CCM kinahakikisha wenye vigezo na uzoefu wa kuendeleza Bunge dhaifu lazima wawe wanaojulikana, Wabunge wengine wa CCM walioomba nafasi hizo ni vilaza pia lakini hawana uzoefu hata wa Bunge dhaifu maana ndo wanaingia Bungeni mara ya kwanza baada ya Uchafuzi uliopita. Viongozi wazuri wa Bunge wenye nguvu watalitoa Bunge toka Ikulu!
 
Alisema watamlazimisha hata kama hataki.

Hilo bunge miaka 5 litakuwa na vijembe kwa Mbowe tu
 
Kama hivi ndivyo, ndugu zangu Watanzania tujipe pole in advance.

'Atake asitake'.
 
Siyo kwamba anayehisi anakiweza hicho cheo agombanie, badala yake chama ndiyo kinapendekeza wa kuwania hicho viti?

Kwani wenyewe vigezo ni hao hao tu?

Cc: mahondaw
Magufuli anataka Ndungai awe sipika, kumbuka kuwa ameshikila taa ya Alladin. Analotamka linakua.
 
Back
Top Bottom