Nani wa CCM amewahi tuhumiwa na kuchukuliwa hatua toka mchakato wa uchaguzi umeanza

Brightg

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
373
660
Hii nchi tumefika hapa tulipofika ni kwakuwa kumekuwa tayari na tabaka.

Toka tumeanza mchakato wa Uchaguzi kuna matukio mengi mengi na mengi sana, wahanga wa matukio haya ni vyama vyote vya upinzani tu ndio wameonekana wakifanya matukio kama yote. je ccm wako perfect sana na hakuna hata mmoja aliye dhibitika kufanya makosa? kumdhalilisha mbunge, kuwarushia mawe wagombea, kuwateka wanao rejesha fomu za kugombea.

TUME YA UCHAGUZI na POLISI dhamana ya kuwatumikia wananchi wote kwa usawa mnayo ninyi, chanzo cha kuwagawa na kuleta matabaka na chuki yaweza mkawa ninyi ndio wa kuanzisha swala hili ila msifike huko. Mtu akiwa suspect na ushahidi ukipatikana ahukumiwe, mwenye haki yake apewe vinginevyo tutakuwa taifa la ajabu sana sana kama ninyi wenye dhamana hamtafanya kazi vizuri kwa kutobaguana.

MUNGU IBARIKI NCHI YA TANZANIA, UIPE AMANI NA UWAPE VIONGOZI HEKIMA NA BUSARA
 
Halipo wala halitakuwepo chini ya utawala wao (hakuna nyoka awezae kula mkia wake hata akipevuka vipi!!?). Wanaosema "wao ndio wenyewe..." tuwe tunawaelewa Mkuu.
 
Kuna mapungufu kibao yalifanywa na wana ccm ila hayakufanyiwa kazi
hii ni dola ya kipolisi na kidikteta nasikia jamaa aliamua kumtoa kafara mama yake mzazi amekufa wanajistukia kutoa taairfa ya msiba
 
Hii nchi tumefika hapa tulipofika ni kwakuwa kumekuwa tayari na tabaka.

Toka tumeanza mchakato wa Uchaguzi kuna matukio mengi mengi na mengi sana, wahanga wa matukio haya ni vyama vyote vya upinzani tu ndio wameonekana wakifanya matukio kama yote. je ccm wako perfect sana na hakuna hata mmoja aliye dhibitika kufanya makosa? kumdhalilisha mbunge, kuwarushia mawe wagombea, kuwateka wanao rejesha fomu za kugombea.

TUME YA UCHAGUZI na POLISI dhamana ya kuwatumikia wananchi wote kwa usawa mnayo ninyi, chanzo cha kuwagawa na kuleta matabaka na chuki yaweza mkawa ninyi ndio wa kuanzisha swala hili ila msifike huko. Mtu akiwa suspect na ushahidi ukipatikana ahukumiwe, mwenye haki yake apewe vinginevyo tutakuwa taifa la ajabu sana sana kama ninyi wenye dhamana hamtafanya kazi vizuri kwa kutobaguana.

MUNGU IBARIKI NCHI YA TANZANIA, UIPE AMANI NA UWAPE VIONGOZI HEKIMA NA BUSARA
Joe Biden
 
Kwa kosa gani sasa?

Wabunge na madiwani walifundishwa na chama kufata sheria na kuepuka kufanya makosa,
Ila ninyi mlikuwa mnafundishwa na mgombea wenu kufaya fujo na uhalifu, ndio maana mnaishia jela na mahakamani.
Badilikeni muone kama mtapelekwa jela.
 
Wajinga wakubwa,watia nia ubunge walikamatwa kwa makosa ya kutoa rushwa huko CCM,eti Takukuru ikakabidhi jalada la uchunguzi kwa NEC ili wachukue hatua!WTF???
Msitufanye watz wote wajinga,shwain!
 
kuna mapungufu kibao yalifanywa na wana ccm ila hayakufanyiwa kazi
hii ni dola ya kipolisi na kidikteta nasikia jamaa aliamua kumtoa kafara mama yake mzazi amekufa wanajistukia kutoa taairfa ya msiba
Inamaana huyo mama ni marehemu?
 
Back
Top Bottom