Great Thinkers habari za asubuhi,
Kwa kweli tangu CHADEMA ianzishwe kimekuwa ni chama cha matukio na kutengeneza movie zisizoisha.
Kwa sasa tuna movie ya Wabunge Viti Maalum ambao nyepesi...
Katika agenda tisa zilizosababisha kuundwa kwa tume ya kusaka maoni ya maridhiano, mradi ukipewa jina la Mpango wa Kujenga Daraja, yaani Building Bridge Initiative (BBI) Kenya, nyingi zinaihusu na...
Nawashauri tu wale Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA kwamba badala ya kulialia kupitia media ni vema wakajifunza " subra" kwa mh Sophia Simba Mbunge wa Viti Maalum CCM.
Subira ni jambo jema kuliko...
Kumekuwa na mawazo kwamba ofisi zenye mamlaka zinafanya fojari kwenye taarifa zake kwa faida za kisiasa. Japo hili halijathibitishwa.
Mfano
Mnyika wa CHADEMA amesema hajapeleka majina yoyote NEC...
Mh Rais samani I know una nguvu zote na Mamlaka ila hiki unakifanya kubeza njia za kisayansi na kupingana na watu wa afya wazi kweli unalitesa Taifa na kamwe hulijengi.
Hivi kweli una apa...
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Salum Bimani, amesema viongozi wa chama hicho wanafanya vikao na Wanachama wake katika majimbo ya Unguja na Pemba kufikia uamuzi...
The Director of Public Prosecutions (DPP), Mr Biswalo Mganga, has ordered a criminal investigation into the reported shortage of cement and other construction materials in the country.
Mr Mganga...
NIMERUDIA kuisikiliza Hotuba ya Mheshimiwa Freeman Mbowe, Mara kadhaa. Hii ni hotuba inaweza kudumu kwa muda mrefu sana kama rejea sahihi ya maamuzi sahihi yaliyowahi kufanywa na CHADEMA, tangu...
Mabibi na mabwana haihitaji elimu ya kiwango cha PhD kutambua sakata la Wabunge wa Viti Maalum limegubikwa na jinai ya wazi.
Haihitaji elimu kama hiyo kutambua kuwa ni nani aliye nyuma ya jinai...
Habarini Wanajanvi
Kutokana na mkanganyiko wa mambo ya Kisisa Nchini na hata kusababisha Tafsiri tata kwa baadhi ya mambo tulioyodhani ni ya kawaida na ni mepesi kuyafahamu na kuyajua.
Kabla...
Kila mwaka serikali hupewa $900M (zaidi ya shilingi Trilioni 2) kwa masharti kuwa "oversee committees" za bunge ziongozwe na kambi ya upinzani na kutoa theluthi moja au zaidi ya wajumbe. Kamati...
Wakuu amani iwe nanyi.
Sakata la wabunge viti maalumu CHADEMA linazidi kutokota na huu ndiyo ushauri wangu kwa Chama.
1. Mdee na genge lake watimuliwe kwani wakiachwa watakuwa madouble agents na...
Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la CHADEMA kuhusu Wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, alipohojiwa na MwanaHALISI Online juu ya maoni yake kuhusu sakata la CHADEMA.
Sakata hilo liliibuka...
Baada ya Wabunge wa Viti Maalum kuapishwa, wenyeviti wa BAWACHA kutoka maeneo mbalimbali wametoa matamko yanayoonyesha kutokubaliana na uteuzi huo, kwa kile walichodai utaratibu haukufuatwa, na...
CHADEMA wameona kama mbwai na iwe mbwai.
Badala ya kutuliza wamerudisha huko huko Mpira ulipotoka.
Na kwa Bahati umeangukia kwako Maalim Seif, tunasubiri tuone utafanyaje?
Mpira unao wewe Sasa...
Ndugu zangu wa ACT-Wazalendo
Fanyeni mfano wa CHADEMA, achaneni na ujinga wa serikali ya umoja wa Kitaifa huko Zanzibar!.
Serikali ya umoja wa kitaifa inaweza kupatikana tu katika uchaguzi huru...
Waliokuwa wanachama wa Chadema, Halima mdee na wenzake waliofukuzwa chama na kamati kuu kwa usaliti!
Wanaweza kujipanga upya kufungua kesi jumatatu kupinga kufukuzwa kwa sababu zifuatazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.