Haya Mbowe ameitendea haki pasi aliyoletewa, sasa mpira upo kwako Maalim Seif

Hofu-less

JF-Expert Member
May 19, 2014
520
1,031
CHADEMA wameona kama mbwai na iwe mbwai.

Badala ya kutuliza wamerudisha huko huko Mpira ulipotoka.

Na kwa Bahati umeangukia kwako Maalim Seif, tunasubiri tuone utafanyaje?

Mpira unao wewe Sasa. Watazamaji wa Zenji na Bara wanasubiri kuona.

Kazi kwako
 
Maalim lazima ale cheo ka kawa. Ashaonja radha ya chro na kimulimuli.

Uzuri yeye ndio mhesqbu kura.

Anakula cheo huyo
 
Kwani nyie hamjui kuwa huu ni mchezo wa Chadema kupeleka wabunge na kujisafisha at the same time.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom