Mheshimiwa Injinia naona jinsi ajira yako hapo makao ilivyo hatarini kiukweli sioni kama utabaki na hili Tsunami la BULLDOZER eti unaagiza nguzo nchini Afrika Kusini? Umeme bado wa wasiwasi!! na...
Baraza la Wanawake CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Halima Mdee sauti ya zege, limeweza kuhamasisha wanawake vijana wengi kugombea majimboni.
Taarifa zinasema zaidi ya wanawake 60 wameteuliwa...
Huu ndio Wimbo anaotakiwa Raisi Magufuli kuuimba yeye binafsi kila siku aamkapo au akutanapo na changamoto yeyote iwe kubwa au ndogo au akutanapo na chochote cha kukatisha tamaa au kumvunja moyo
Wabunge 10 na madiwani wawili walioitwa kwa ajili ya mahojiano leo katika ofisi za Chama cha Wananchi (CUF) hadi saa 5.00 walikuwa bado hawajaonekana kwenye ofisi hizo.
Wabunge hao wanaomuunga...
Kuna taarifa kwamba wabunge wa viti maalumu waliofutiwa uanachama wa CUF na Lipumba wameshinda pingamizi lao mahakamani na mahakama imeamuru warejeshewe uanachama wao na ubunge.Kwa sababu hiyo...
Maamuzi wameyatoa Kamati Kuu ya Chadema kuwafukuza wanachama wao. Lakini ni MATAGA wanapambana mitandaoni kuyapinga. Hii kwenye betting ndio option gani?
"Ila freeman Mbowe aiseee! Huyu jamaa ana...
Walikuwa shupavu, wajenga hoja, watumia brain, the highest mental powers... masikini tamaa ya hela imewashushia heshima walizozijenga over decades! Wakiomba radhi wasamehewe, lkn si rahisi maana...
Habari wadau wenzangu wa siasa,
Tumeona wale 'kumi na tisa' wakiadhibiwa na chama chao kwa usaliti wa maazimio na misimamo ya chama chao kuhusu yaliyojiri 'Oktoba ishirini na nane' hukumu...
Jana Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa zamani wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro alisoma maadhimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichoketi jana asubuhi hadi Usiku.
Kikao hicho kwa mjibu wa...
Mkurugenzi wa mashtaka nchini mh Biswalo leo amewafutia mashtaka mahabusu 51 mkoani Manyara baada ya kuwasikiliza na kugundua mashtaka yao yana mapungufu.
DPP Biswalo amesema anaendelea na zoezi...
Kujikwaa na kuanguka sio mwisho wa safari. Kama binadamu mwaweza kuwa mlihadaika na kupotoka, lakini mmepewa muda wa kuomba radhi na kurudisha heshima yenu, fanyeni hivyo.
Kwanza mmegundua kwa...
Moja ya kasoro kubwa tulinayo watanzania tuliowengi ni kwamba hatupendi kukosolewa, zaidi sana hatupendi watu wenye mawazo tofauti na sisi.
Tabia hii tusipoiacha itatutesa sana. Tunapigana na...
Ndugu zangu kuna maisha baada ya maisha haya, na kila mmoja wetu atasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. Asilimia kubwa ya Watanzania ni wacha Mungu, ndio maana naomba sana tujibu swali hili...
Kwanza kabisa ifahamike kwamba yote yaliyofanyika yana baraka zote za Mwenyekiti.
Sasa ili kujikosha na kuwazuga wafuasi sugu wa CHADEMA, Mbowe atakuja na blah! blah! kibao kisha atahitimisha kwa...
Tunapoenda kuunda Timu ya Serikali yenye muelekeo wa uhuru kamili na kujitegemea tunatakiwa kuwaogopa sana wabunge wasanii wenye mbinu za kujipitisha,kujionesha na kufanya vibweka ili waonekane...
Sijawa na jibu sahihi kwa swali langu, je hawa wanawake hakuna hata mmoja mwenye mume ambaye alimshauri na kumkataza kwenda kuwa viti maalum kuwa atakuwa ameona madhara yake, sasa mkewe kafukuzwa...
Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine Political Science pale UDSM. Mimi binafsi alinifunza Organizations Theory nadhani ilikuwa Second Year.
Kimsimamo Bashiru pale "the hills" hatukumtofautisha...
Huenda ni furaha kwake na huenda hao 19 walichaguliwa waingie kwenye mtego iwe mwisho wao baada ya kuona wanasumbua majimboni, hawakujitambua au waliamua. kwa maamuzi ya sasa ya chadema mana yake...
Kuna ka msemo ka Kiswahili kanasema
"Hakunaga Umoja kwenye Njaa akitokea mwenye chakula "
Ni dhahiri shahiri huu msemo unatumika sasa kwa kile ambacho kinatokea na kinachoendelea kutokea ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.