Kuwaacha na uanachama hawa Wabunge Viti Maalum ni kuruhusu mamluki kukutumikia

THE LOST

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
1,048
2,000
Wakuu amani iwe nanyi.

Sakata la wabunge viti maalumu CHADEMA linazidi kutokota na huu ndiyo ushauri wangu kwa Chama.

1. Mdee na genge lake watimuliwe kwani wakiachwa watakuwa madouble agents na CHADEMA itakuwa imejiua kwa kuruhusu mwanachama ambaye ni mtiifu kwa wapinzani wako kuwa sehemu ya mikakati yako.

2. Sheria haimtambui mgombea binafsi wala CCM hawana uwezo wa kuteua wabunge wa viti maalum kwa vyama pinzani hivyo wakiwafukuza na bunge kuwang'ang'ania itajulikana wazi nchi haifati utawala wa kisheria na hill litapelekea kudorora kwa mambo mengi serikalini.

# You must learn to fight fear.
 
Makerubi Mushi

Senior Member
Oct 14, 2018
116
225
Aanzishe cha kwake na akubaii huu upuuzi, yeye mwenyewe wa kwake aiimshinda akasema Marekani asizani hatujui
 
NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
6,807
2,000
Atakaejaribu kiwafukuza wakina Mdee ataondoka yeye CHADEMA.
Kwanza mpaka sasa mpango uo aupo mnaliwazana tu kwenye mitandao.
 
Ramaan

Member
Aug 7, 2020
82
150
Wakuu amani iwe nanyi.

Sakata la wabunge viti maalumu CHADEMA linazidi kutokota na huu ndiyo ushauri wangu kwa Chama.

1. Mdee na genge lake watimuliwe kwani wakiachwa watakuwa madouble agents na CHADEMA itakuwa imejiua kwa kuruhusu mwanachama ambaye ni mtiifu kwa wapinzani wako kuwa sehemu ya mikakati yako.

2. Sheria haimtambui mgombea binafsi wala CCM hawana uwezo wa kuteua wabunge wa viti maalum kwa vyama pinzani hivyo wakiwafukuza na bunge kuwang'ang'ania itajulikana wazi nchi haifati utawala wa kisheria na hill litapelekea kudorora kwa mambo mengi serikalini.

# You must learn to fight fear.

Nikiangalia hiki chama kilipotoka na kilipo sasa napata maswali mengi sana kichwani. Hiki chama kilikuwa na vijana wazuri sana, kafulila, Zito, Machari, wengine wengi. Dr. Slaa akaongeza nguvu kubwa kwenye chama. Lakini kwa sasa wote hao hawapo. na issue kubwa ni 'usaliti'. Sasa kimepata mtihani mwingine wa kina Halima Mdee, hawa ni makamanda kindakindaki wa Chadema, na wengine walihusika kuwafukuza watu kama kina Zitto. Sasa na wao leo ni 'WASALITI.'... Ukituliza akili na ukaacha ushabiki maandazi, utagundua kuna tatizo, tena tatizo ni kubwa ndani ya uongozi wa chama, na hili tatizo wamelitengeneza wenyewe na sasa linawavuruga wenyewe. No one is safe ndani ya chama. Kimejaa unafki na Fitna za wao kwa wao.
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
7,101
2,000
Magufuli once said, a traitor deserves the gallows, so Mdee and her fellow traitors must be paraded in the firing line and pay for their betrayal and there will still be no love 💕 lost.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom