Wahenga walisema “Mtu Mzima akilia ujue kuna Jambo”
Katika siku za hivi karibuni Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA akiwa jimboni kwake Hai amesikika akilalama au kujinasibu kuwa asingekuwa na roho...
Nimemsikiliza John John Mnyika akitoa tamko kuhusu jambo hili leo...
Kwa ufupi linafikirisha sana. Mtu anaweza kujiuliza kama ndivyo hivi yalivyo mambo haya, nini hasa maana yake...?
Kuna...
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe...
Nafuatialia hili sakata la viti maalum CHADEMA
Nakuja kwenu naomba anaejua anisaidie majibu ya haya maswali.
1. John Mrema ana cheo gani CHADEMA?
2. Katika wale 19 nimeona jina la Anthropia...
Kibaraka Lissu sasa anaipasua CHADEMA baada ya jaribio la mabeberu la kumuweka urais kushindwa vibaya. Kama watanzania wanavyomuelewa Lissu kwamba ni mtu muongo na mzushi sivyo mabwana zake...
Nidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa.
Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali...
Kwenye vipande vya fedha na Hofu usimwamini mtu yoyote. CCM wamejua pa kushika.
Biblia inasema Yesu aliteua Mitume 12 tu aliowaamini Sana miongini mwa wanafunzi wake. Walishuhudia miujiza ya kila...
Nilidhani yale majina ya Wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA yalizingatia uwakilishi kama wafanyavyo UWT ya CCM.
Kumbe hawa CHADEMA wamepeleka majina ya viongozi watupu ukiwemo uongozi wote wa...
Hili ni swali ambalo kila mwanachadema na mpenda demokrasia anatamani leo litendeke kupitia Kamati Kuu. Lakini ipi sababu hasa ya kwanini wafukuzwe? Nini faida kwa CHADEMA ikiwafukuza? Nini hasara...
Ni imani yangu kuwa Wafadhili mpaka sasa wana taarifa zote za nini kinaendelea, taarifa zinazotuweka pabaya kama nchi katika swala zima la demokrasia kitu ambacho wenzetu wanakipa uzito na...
Esteemed GT
This is my personal opinion based on the ongoing political hiccups in Tanzania, east africa, Africa, Europe, Asia and USA that democracy governance is on teh sharp decline right from...
UASI NA UZALENDO VINAPAKANA HIVI?
Tujadili:
Kila nyuma ya mwanamme aliyefanikiwa, kuna mwanamke mwenye nguvu.
Kila nyuma ya mwanamke anayeasi, kuna mwanamme mwenye nguvu.
Kila nyuma ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia kumwakilisha Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwenye Mkutano wa dharura wa pamoja baina ya SADC Organ...
Amani iwe nanyi wadau.
Sasa nimeanza kuamini kuwa kumbe suala la ICC ni tishio kubwa kwa serikali ya awamu ya Tano, pamoja na kebehi za Wanalubumba humu.
Sasa nimeamini kuwa viongozi wa serikali...
Naomba tufanye tathimini kupitia mtandao huu wa JamiiForums juu ya namna gani wananchi wanawachukulia wanasiasa wa kizazi cha leo kuwalinganisha na wale wa kiza cha Mwalimu Nyerere,mtu alieacha...
Ni imani yangu viongozi wa CHADEMA leo wataweka mbele heshima ya chama kwa kulinda katiba ya chama hicho pale watapowafukuza wasaliti 19 kwa mpigo na kuweka historia ya kufukuza Wanachama...
Arusha. Tanzania imejiondoa rasmi kwenye kipengele cha Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) kinachoruhusu watu binafsi na mashirika yasiyo ya kiserikali kuishtaki Serikali baada...
Sasa hivi bandugu kila mwanachama, hasa waliokuwa Wagombea kutoka upinzani ana uchungu mwingi moyoni baada ya zoezi la Uchaguzi huu kuvurugwa.
Huu ni muda wa kutafakari na kuchanga karata namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.