Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Profesa Adelardus Kilangi amewaonya CHADEMA kutowabugudhi wabunge wa chama hicho wa viti maalum kutoka chama hicho. Profesa Kilangi amesema, mchakato wa Wabunge wa...
5 Reactions
134 Replies
17K Views
Hakuna kitu kinanoga Kama kukaa kikao mkachambua hoja,mkatafuta facts za kikatiba na kisheria kisha mkatumia sheria na katiba kutoa maamuzi. Hii nchi ina wasomi wengi na wapo CCM, nimefuatilia...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Bofya link hapo chini usikilize madini ya kikatiba na kisheria kutoka kwa Charismatic Fella Tundu Lissu.
17 Reactions
53 Replies
8K Views
Kuna jinai kubwa imetendeka. Kuna uvunjaji mkubwa wa Katiba na Sheria za nchi umetokea. Mhusika lazima abainishwe na achukuliwe hatua kali za kisheria. Mambo yako hivi: CHADEMA wamesema na...
75 Reactions
158 Replies
13K Views
Salaam wanabodi kwa hakika binadamu wengi wanaamini mtu aliyesoma sana kuwa ndo anajua kila kitu na wenye elimu ndogo kudharaulika lakini sivyo kuna watu kwa hakika unajiuliza Mtu aliesoma...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika. Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si...
9 Reactions
195 Replies
15K Views
Tumesifia vya kutosha serikali mpya Ila siku utakayopata matatizo ya kiafya na ukaenda hospital za umma ukakutana na huduma mbovu zenye gharama kubwa utawakumbuka Sana wapinzani waliyosema yote na...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni kweli Halima alifanya kosa na ni bayana alifanya hivyo kwa kutanguliza tamaa ya Pesa mbele, kila mtu anatamaa ya Pesa Sawa Kamati Kuu imeamua kuwavua uanachama na nimeona watu wengi...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Ni wazi Halima Mdee na wahuni wenzanke si wanachama tena wa CHADEMA, kwakuwa Katiba iko wazi hata ule Ubunge wao wa kuapishwa gereji ni 'Nuil and Void'. Sasa natowa wito mpira umebaki kwa Peter...
33 Reactions
73 Replies
7K Views
Watu wenye akili wanaelewa wazi kuwa Halima James Mdee kuendelea kubishana na kamati kuu ya CHADEMA ni kupoteza muda wake bure kwa sababu swala hili limeshafika mwisho Binafsi nimemuelewa Spika...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Ni wazi mchezo uliotumika kuwaingiza wabunge wateuliwa akiwemo mfungwa kwenye bunge la Tanzania hauwezi kufumbiwa macho, sasa uangaliwe utaratibu wa kufungua mashtaka dhidi ya mechi nzima utafutwe...
15 Reactions
41 Replies
4K Views
Mabibi na mabwana vyama kufukuza watu tangu lini imekuwa habari kubwa hadi vyama mahasimu kushadadia kwa mbinde namna hii? Kila chama kina taratibu zake ambazo wanachama wanalazimika kuzifuata au...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
26 November 2020 Paris, France Tundu Lissu on F24; Tanzania opposition leader vows to keep fighting Tundu Lissu, the Tanzanian opposition leader who fled to Belgium after losing last month's...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema yeye hakuondoka CHADEMA bali alifukuzwa. Kupitia ukurasa wake wa twitter amesema kuwa alifukuzwa bila kikao cha Halmashauri Kuu, bali...
8 Reactions
92 Replies
9K Views
Wakuu, Haya ni maoni binafsi kuhusiana na mienendo ya siasa za Tanzania. 1. Chama tawala-mmepewa dhamana ya kuongoza watu wa imani, itikadi, rangi, kabila zote bila kujali nafasi ya kiuchumi...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
NI HATUA NZURI TUNASHUKURU: Baada ya kutoa Tamko la Kupinga Mchakato na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliovurugwa, sisi CUF - Chama Cha Wananchi tulikuwa Chama Cha Kwanza kufanya " MAAMUZI MAGUMU"...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Akili iliyotumika kuwaingiza katika mitego ni kubwa sana na kwa mtu mwenye akili za kawaida asingeweza kujua nini kipo mbele yao. Lengo la mission hiyo ilikuwa ni kuwapoteza kabisa kwenye ramani...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
CHADEMA wameshapata mtazamo na muelekeo wa matakwa ya wanachama wao. Katika sayansi ya siasa, kitu kikubwa kinachoitajika katika kufanya maamuzi ni kuelewa vizuri mapokeo yake. Hivyo kama...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti. Utaratibu wa kuwapata wabunge...
14 Reactions
67 Replies
6K Views
Back
Top Bottom