Wanajisumbua tu, mwamba kasema ijumaa wakazungumze, na yeye atawalinda na kuwakumbatia!Baada ya wabunge wa viti maalumu kuapishwa, wenyeviti wa Bawacha kutoka maeneo mbalimbali wametoa matamko yanayoonyesha kutokubaliana na uteuzi huo, kwa kile walichodai utaratibu haukufuatwa, na kwamba kilichofanyika ni usaliti katika chama!
View attachment 1635403
View attachment 1635404
View attachment 1635405
View attachment 1635406
View attachment 1635407
View attachment 1635408
View attachment 1635409
View attachment 1635410
View attachment 1635411
si Tanzania ni africa na na yote ni umasikiniSiasa Tanzania zinakatisha tamaa sana. Bora tu kuendelea kutafuta hela nyingi na kutandaza miti. Ndio kilichobakia tu.
Tamaa ya mzee fisi..Kina Halima wamekwenda na maji
CHADEMA bado imara kabisa. AmenBaada ya Wabunge wa Viti Maalum kuapishwa, wenyeviti wa BAWACHA kutoka maeneo mbalimbali wametoa matamko yanayoonyesha kutokubaliana na uteuzi huo, kwa kile walichodai utaratibu haukufuatwa, na kwamba kilichofanyika ni usaliti katika chama
View attachment 1635403
View attachment 1635404
View attachment 1635405
View attachment 1635406
View attachment 1635407
View attachment 1635408
View attachment 1635409
View attachment 1635410
View attachment 1635411
Kifungu gani cha katiba ya Chadema kilichokiukwa!? Ama mna katiba yenu mfukoni!? Kwa sababu mliyotuwekea kwenye tovitu sijaona kipengele kilichokiukwa! Hasa suala la kamati kuu kuteua wabunge wa viti maalumu.Safi sana
Wivu tu hakuna lolote hapo.Mnawaonea here kwa kuwa nyie mmetawaliwa na njaaaKina Halima wamekwenda na maji