Kundi la Wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno. Wakizibwaga, CHADEMA inasambaratika

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,910
51,904
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.

Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
 
Vile MATAGA wamepanic!
147154079.jpg
 
Dr Slaa alimwaga siri kwani? usicheze na taasisi yoyote. Mwanasiasa yoyote alielelewa ndani ya Chadema anajua kesho au kesho kutwa anaweza kurudi kundini hivyo hana namna ya kuchunga kauli yake.

Silinde alisema atazunguka kote kuongea lakini wapi...Lijualikali alitoa adi machozi akasikika adi na Takukuru lakini wapi...hawa akina Mdee wataongea sana lakini it's too late.

Akina Kitila..Zito..Mwigamba...Msando...Kafulila lakini wapi.
Wanajua baada ya Magufuli kutoka Ccm maisha yatakua magumu sana lazima wachunge midomo yao.
 
Zitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti cdm itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au cdm hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaidaa tuu
Hujui kwamba tangu watoke hao uliowataja kimedodoke pua vya kutosha? Sasa ni kifo cha mende!!
 
Dr Slaa alimwaga siri kwani? usicheze na taasisi yoyote. Mwanasiasa yoyote alielelewa ndani ya Chadema anajua kesho au kesho kutwa anaweza kurudi kundini hivyo hana namna ya kuchunga kauli yake...
Unasubili had press ndo ujue wanaongea? Haa !!! Angalia mapito ya chama hicho utakuwa umengudua kama wanaongea
 
Kundi la wabunge 19 wa Chadema wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika

Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi

Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
hakuna kitu hapo
 
MATAGA bana!
Wakati Lowasa, Sumaye, Mashinji, Mwambe & co wanaondoka Chadema mlikuwa mkijifariji hivi hivi. :D:D

COVID-19 OUT!
 
Mnachekesha sana, mmebakiza nguzo moja ya ubatili, nayo ni Job kufanya ubatili aloufanya kwa akina Peter na wenzake.
Zaid ya hapo hamna jingine.

Ifike mahala mjitambue, mjue hakuna chama ndan ya nchi ya vyama vingi kinachoweza kushinda viti vyote vya ubunge kihalali, hakuna na haikaji kutokea.

Sasa hao wamefukuzwa, nenden mkabadilishe kanun za namna ya kuwapata wenyeviti na wajumbe wa Kamati za kudumu za bunge.
Nenden mkaunde kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Nenden mkaunde baraza la mawaziri vivuli
Nendeni mkasafishe kwa mabwana zenu wanaowahonga pesa za miradi, utawala bora na demokrasia ambao mnawaita mabeberu

Mnashangaza si tu duniani, hadi mbinguni
 
Zitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti cdm itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au cdm hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaidaa tuu
Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?

Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.

Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.

CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
 
Back
Top Bottom