Watanzania wataukumbuka Sana upinzani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,553
44,722
Tumesifia vya kutosha serikali mpya Ila siku utakayopata matatizo ya kiafya na ukaenda hospital za umma ukakutana na huduma mbovu zenye gharama kubwa utawakumbuka Sana wapinzani waliyosema yote na utajiona mjinga Sana kwa kuamini kila analosema mheshimiwa liko sahihi na wanaosema wapinzani Ni uzushi.
 
Kuwepo kwao kote tangu 1992 wamefanya nini cha maana zaid ya kugombana wao kwa wao kadri wakisohezewa Mkate mdogo wagawane
Tumesifia vya kutosha serikali mpya Ila siku utakayopata matatizo ya kiafya na ukaenda hospital za umma ukakutana na huduma mbovu zenye gharama kubwa utawakumbuka Sana wapinzani waliyosema yote na utajiona mjinga Sana kwa kuamini kila analosema mheshimiwa liko sahihi na wanaosema wapinzani Ni uzushi.
 
Kupiga kelele hata Wabunge wa Ccm wamepig sana kelele, tunaangalia impact ya hizo kelele

Nikumbusbe kelele zao kupinga Mishahara na marupurupu ya kufuru ya Wabunge!

Wakati wa Bunge la Chama kimoja la kina Tuntemeke Sanga, Sebastian Kinyondo, Kimbau, Njelu kasaka na Mzindakaya ulikuwa na umri gani?
Hujui cha maana walichofanya.wakina Nani waliopiga kelele Sana bungeni kuhusu ufisadi katika mikataba,ujangili na ubadhirifu?
 
Kupiga kelele hata Wabunge wa Ccm wamepig sana kelele, tunaangalia impact ya hizo kelele

Nikumbusbe kelele zao kupinga Mishahara na marupurupu ya kufuru ya Wabunge!

Wakati wa Bunge la Chama kimoja la kina Tuntemeke Sanga, Sebastian Kinyondo, Kimbau, Njelu kasaka na Mzindakaya ulikuwa na umri gani?
Umlinganisha nani na Njelu Kasaka kwenye hili kusanyiko la Bundi?
 
Namlinganisha Njelu na hao Wapiga dili wenu waliopigwa chini na kijifanya tutawakumbuka!

Kuna role gani wameifanya ya kukumbukwa kiasi cha kusema kutokuwepo kwao tuta wa miss?

Epa
Meremeta

List of shame

Escrow Account
Vyote ni wapinzani walivilipua
 
Tumesifia vya kutosha serikali mpya Ila siku utakayopata matatizo ya kiafya na ukaenda hospital za umma ukakutana na huduma mbovu zenye gharama kubwa utawakumbuka Sana wapinzani waliyosema yote na utajiona mjinga Sana kwa kuamini kila analosema mheshimiwa liko sahihi na wanaosema wapinzani Ni uzushi.
Hahahhahahahahha kua mpinzan aimaanish kupga kelele kupnga kila ktu.

-->hao unawaona tutakuja kuwakumbuka ndio wale wale waliokua wanasema tz Bado tuna Corona wakadai karantin,leo ungekua ndan kama Una mafamilia inakutegemea ungeelewa

-->hao hao tena wanataka tukubali ushoga

--> emb shtuka ndgu yangu serikali inajtaid kuboresha huduma za afya Kwa kias kikubwa sana tusiongee Kwa ushabik, tusapot juhud za serikal Kwa kufanya kaz Kwa bidii
Alafu pia tuna wanasiasa Weng sana wazur kuliko hao mnawaona miungu watu kila cku wao tuu, nenda majmbon mwao then urud na thread apa JF kutueleza Zaid ya miaka 15 wamefunya nn Kwa wananchi wao Zaid ya kelele
 
Upinzani huu wa akina halima pigania maslahi, magoli ya mkono tunayapinga kumbe na wenyewe wanayatamani.
 
Ngoja sasa upewe somo la Siasa

Yote hayo uliyotaja ilikuwa Michezo ya kisiasa ya ndani ya CCM yenye lengo maalum

Mbona 2015-2020 hakuna ulichotaja!

List of shame haikutajwa Bungeni, ilikuwa Mwembe Yanga Temeke

External payment arrears chanzo chake ni Internal Audit report ya BOT

Escrow ni mchezo wa Nimrod Mkono kukomoa baada ya Prod Muhongo kusitisha Dili lake lisiloisha la kesi za Tanesco ndio akanyofoa nyaraka na kumpa Zitto nae Zitto kwa kuwa alijipanga kwny PAC kuwa ndio mchunguzi akampa Kafulila awe mleta tuhuma

Kashfa ya Meremeta ilianzia kwny Gazeti la Mwanachi

All in all hizo kashfa chanzo chake si Wapinzani na hata kama ni Wapinzani sio lazima wawe Wabunge kuzilipua

Kama kulipua kashfa Bungen basi hakuna kashfa kubwa kulipuliwa kama ya 1994 iliyolipuliwa na Waziri wa Kazi wakati huo na Mbunge wa Moshi vijijini Augustine Lyatonga Mrema kuhusu Kashfa ya Mkonge ikimhusu Chavda
Epa
Meremeta
List of shame
Escrow Account
Vyote ni wapinzani walivilipua
 
Hahahhahahahahha kua mpinzan aimaanish kupga kelele kupnga kila ktu.

-->hao unawaona tutakuja kuwakumbuka ndio wale wale waliokua wanasema tz Bado tuna Corona wakadai karantin,leo ungekua ndan kama Una mafamilia inakutegemea ungeelewa

-->hao hao tena wanataka tukubali ushoga

--> emb shtuka ndgu yangu serikali inajtaid kuboresha huduma za afya Kwa kias kikubwa sana tusiongee Kwa ushabik, tusapot juhud za serikal Kwa kufanya kaz Kwa bidii
Alafu pia tuna wanasiasa Weng sana wazur kuliko hao mnawaona miungu watu kila cku wao tuu, nenda majmbon mwao then urud na thread apa JF kutueleza Zaid ya miaka 15 wamefunya nn Kwa wananchi wao Zaid ya kelele
MATAGA ilipokuwa Oktoba: "wabunge wa Chadema ni wapinga maendeleo, wasumbufu bungeni afadhali hawapo na bunge litakuwa live"

MATAGA ilipofika November: "Tunawapongeza wabunge wa Chadema kuonesha uzalendo kwenda kuapishwa. Sasa tuchape kazi"

MATAGA/UVCCM ubongo wao ni 'ki WONDER' cha kuchakata upumbavu duniani
 
Back
Top Bottom