Leo nimeamini kusoma sana sio kuelimika

Jiang Ze Dong

JF-Expert Member
May 28, 2020
314
851
Salaam wanabodi kwa hakika binadamu wengi wanaamini mtu aliyesoma sana kuwa ndo anajua kila kitu na wenye elimu ndogo kudharaulika lakini sivyo kuna watu kwa hakika unajiuliza Mtu aliesoma akaishia Darasa la Saba anawezaje kumzidi fikra na ufahamu wa vitu vikubwa mtu mwenye elimu ya Chuo Kikuu.

Leo nimeangalia mahojiano ya Mbunge Joseph Kasheku maarufu Musukuma akimlaumu Mkurugenzi kununua gari la kifahari lenye thamani ya Tsh. Milioni 460 huku Wananchi wakihitaji huduma muhimu kama maji, afya, elimu na barabara hoja za Musukuma zote zinamashiko lakini Mkurugenzi katika kujitetea mbele ya wanahabari ndiyo nikagundua kuwa kusoma sana sio kuelimika kwa hakika huyu Mbunge kawazidi Wabunge wengi wasomi pale Bungeni.

Nawasilisha
 
DED ameipa CCM "ushindi wa kishindo" kwenye uchaguzi. Hiyo mil 460 ni nini sasa? CCM imekwishalala na housegirl. Housegirl sasa anamwona kila mtu kwenye nyumba yuko chini yake!
 
Mfano mzuri wa kusoma sana sio kuelimika ni kwa "PROF. KALAMAGANDA KABUGI".

Profesa zima lenye "PhD" ila akili kama za mtoto wa chekechea. Mpaka kichefu chefu nikiona press zake anavyotoa macho kama "TAA ZA NOAH" akiwaaminisha raia upuuzi.
 
Kuna watu wengi Tanzania wana high IQ lkn hawakubahatika kupata nafasi ya kusoma kutokana na mazingira waliozaliwa Muzungu anaita destiny, BTW sijui chochote khs Msukuma na hiyo VX, ...
 
Huwa pia anatoa chembechembe nyingi sana za mate. Ukiwa karibu naye, unaoga saliva. Tena kwa vile ama mapengo, huwa ni rahisi sana mate kupita. Waandishi wanalalamika microphone kulowa mate kwenye press zake.
Mfano mzuri wa kusoma sana sio kuelimika ni kwa "PROF. KALAMAGANDA KABUGI".

Profesa zima lenye "PhD" ila akili kama za mtoto wa chekechea. Mpaka kichefu chefu nikiona press zake anavyotoa macho kama "TAA ZA NOAH" akiwaaminisha raia upuuzi.
 
Salaam wanabodi kwa hakika binadamu wengi wanaamini mtu aliesoma sana kuwa ndo anajua kila kitu na wenye elimu ndogo kudharaulika lakin sivyo kuna watu kwa hakika unajiuliza mtu aliesoma akaishia darasa la saba anawezaje kumzidi fikra na ufahamu wa vitu vikubwa mtu mwenye elimu ya chuo kikuu.


Leo nimeangalia mahojiano ya mbunge Joseph Kasheku maarufu musukuma akimlaumu mkurugenzi kununua gari la kifahari lenye thamani ya tsh ml460 huku wananchi wakihitaji huduma muhimu kama maji,afya,elimu na barabara hoja za musukuma zote zinamashiko lakin mkurugenzi katika kujitete mbele ya wanahabari ndo nikagundua kuwa kusoma sana sio kuelimika kwa hakika huyu mbunge kawazidi wabunge wengi wasomi pale bungeni.

Nawasilisha
Class seven Hapana aisee
 
Nikulipe mshahara mnono , nikupe gari zuri , nyumba halafu utangaze mpinzani ? PhD holder andongea hayo utafikiri anatoa hell nyumbani kwao kwenye familia yake au hela baba yake .
 
Mbona hujaweka hoja za mkurugenzi, unaweza kukuta na zenyewe zina mashiko. Au vii-eite ni kwa ajili ya vigogo wa chama pekee..
 
Mbona hujaweka hoja za mkurugenzi, unaweza kukuta na zenyewe zina mashiko. Au vii-eite ni kwa ajili ya vigogo wa chama pekee..
Hata kama yalihitajika magari lakini sio gari za kifahari yaani mkurugenzi anatembelea gari zuri kuliko mkuu wa mkoa kama angenunua gari za kawaida angepata mbili na chenji ingebaki
 
Salaam wanabodi kwa hakika binadamu wengi wanaamini mtu aliesoma sana kuwa ndo anajua kila kitu na wenye elimu ndogo kudharaulika lakin sivyo kuna watu kwa hakika unajiuliza Mtu aliesoma akaishia Darasa la Saba anawezaje kumzidi fikra na ufahamu wa vitu vikubwa mtu mwenye elimu ya Chuo Kikuu.

Leo nimeangalia mahojiano ya Mbunge Joseph Kasheku maarufu Musukuma akimlaumu Mkurugenzi kununua gari la kifahari lenye thamani ya Tsh. Milioni 460 huku Wananchi wakihitaji huduma muhimu kama maji, afya, elimu na barabara hoja za Musukuma zote zinamashiko lakin Mkurugenzi katika kujitete mbele ya wanahabari ndo nikagundua kuwa kusoma sana sio kuelimika kwa hakika huyu Mbunge kawazidi Wabunge wengi wasomi pale Bungeni.

Nawasilisha
Kusoma sana ni kuongeza ujinga, kama uamini angalia watu kama
1. Mahera wa Nec
2. Kabudi waziri
3. Mwakyembe
4
5
 
Mfano mzuri wa kusoma sana sio kuelimika ni kwa "PROF. KALAMAGANDA KABUGI".

Profesa zima lenye "PhD" ila akili kama za mtoto wa chekechea. Mpaka kichefu chefu nikiona press zake anavyotoa macho kama "TAA ZA NOAH" akiwaaminisha raia upuuzi.
Siku moja nilikuwa naongea na jamaa mmoja kati ya top TISS officers, akasema kuwa mara nyingi wamefanya vikao na Kabudi, ni vigumu sana kuamini kabudi ana degree hata moja. Akasema kabudi hakuna anachojua zaidi ya kujipendekeza kwa Rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DED ameipa CCM "ushindi wa kishindo" kwenye uchaguzi. Hiyo mil 460 ni nini sasa? CCM imekwishalala na housegirl. Housegirl sasa anamwona kila mtu kwenye nyumba yuko chini yake!
Kama kazi aliyotumwa na aliyemteua ya kutangaza ushindi wa kishindo kwa CCM ameifanya vizuri na nyumba nzuri amepewa, kuna shida gani akinunua gari zuri linaloendana na ahadi walizopewa wasimamizi wote abaki kuongoja mshahara mzuri? Ole wao wale wawili waliotangaza ushindi wa wapinzani watatembelea baiskeli na kukaa nyumba za tembe kama hawajatumbuliwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom