Mimi ni mwanachama wa CHADEMA, lakini Siwezi kumnanga Halima Mdee nampenda sana

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
Ni kweli Halima alifanya kosa na ni bayana alifanya hivyo kwa kutanguliza tamaa ya Pesa mbele,
kila mtu anatamaa ya Pesa

Sawa Kamati Kuu imeamua kuwavua uanachama na nimeona watu wengi wakimsimanga halima,

Tusimhukumu mtu kwa kosa moja hebu tuangalie ni mangapi amefanya mema

Halima na wenzako mlichokifanya, mpaka sasa sijajua Halima umepatwa na nini dadaangu?

Lakini sawa tu siku hazilingani,

Nawasihi wanachadema tusimnange sana Halima

Nimeumia sana kumpoteza Halima CHADEMA, lakini sitathubutu kukulaumu kwani ni mambo mengi sana umefanya kukijenga chama

Umekua nasi bega kwa bega mpaka siku ya jana

Usifadhaike sana CHADEMA tunakupenda sana Halima

Hata kwenye mazungumzo ya Mbowe alionyesha ameumia sana

we love you
 
Mchukuweni CCM. Amekwishafukuzwa CHADEMA.
ni kweli Halima alifanya kosa na nibayana alifanya hivyo kwa kutanguliza tamaa ya Pesa mbele,
kila mtu anatamaa ya Pesa

sawa kamati kuu imeamua kuwavua uanachama na nimeona watu wengi wakimsimanga halima,

tusimhukumu mtu kwa kosa moja hebu tuangalie ni mangapi amefanya mema

halima na wenzako mlichokifanya, mpaka sasa sijajua Halima umepatwa na nini dadaangu?

lakini sawa tu siku hazilingani,

nawasihi wanachadema tusimnange sana halima

nimeumia sana kumpoteza Halima CDM, lakini sitathubutu kukulaumu kwani ni mambo mengi sana umefanya kukijenga chama

umekua nasi bega kwa bega mpaka siku ya jana

usifadhaike sana CDM tunakupenda sana Halima

hata kwenye mazungumzo ya Mbowe alionyesha ameumia sana

we love you
 
Alikuwa kwenye ngozi ya kondoo ilimbidi ajifanye kama kondoo mumpende sasa amevua ngozi ya kondoo na amekuwa fisi kwa uhalisia.

Siasa bana, ukitizama zile video anafoka kisa begi la kura feki na anachofanya saivi....mmhhh

Lakini mkuu lazima ukubaliane na mimi kua ameshiriki pakubwa sana kwenye kujenga chama
 
Lakini mkuu lazima ukubaliane na mimi kua ameshiriki pakubwa sana kwenye kujenga chama
Ukweli ni kwamba hata huko kujenga kwake chama kama unavosema ilikuwa ni kwa maslahi yake, alipokosa ubunge ndio kaamua kuwasiliti wenzake. shida apo ni pesa ndicho alichokuwa akifuata.
 
Ukweli ni kwamba hata huko kujenga kwake chama kama unavosema ilikuwa ni kwa maslahi yake, alipokosa ubunge ndio kaamua kuwasiliti wenzake. shida apo ni pesa ndicho alichokuwa akifuata.

maisha bila pesa hayaendi pia
 
Halima Mdee Mchezaji Mpya Wa Ccm Anakwenda Kuvaa Kijani, Njano Na Nyeusi. Haa 😁😂😂
Haya Siyo Mapenzi Ni Mahaba!!!!
 
Baada ya chadema kuwatema kina mdee sasa naweza kuishabikia. Chadema wameonyesha kua wao ni chama cha siasa chenye misingi, kanuni na miiko(principles).

Chadema wameonyesha kua misingi yao mtu uki mess up nayo lazima utakabiliwa na consequences, misingi isiyoomuogopa mtu wala cheo.

Chadema wameonyesha it is a political suicide to mess up with their principles.

Chadema wameonyesha kua wao ni taasisi, siku zote hakuna mtu mkubwa juu ya taasisi.

Safi sana.
 
Ni kweli Halima alifanya kosa na ni bayana alifanya hivyo kwa kutanguliza tamaa ya Pesa mbele,
kila mtu anatamaa ya Pesa

Sawa Kamati Kuu imeamua kuwavua uanachama na nimeona watu wengi wakimsimanga halima,

Tusimhukumu mtu kwa kosa moja hebu tuangalie ni mangapi amefanya mema

Halima na wenzako mlichokifanya, mpaka sasa sijajua Halima umepatwa na nini dadaangu?

Lakini sawa tu siku hazilingani,

Nawasihi wanachadema tusimnange sana Halima

Nimeumia sana kumpoteza Halima CHADEMA, lakini sitathubutu kukulaumu kwani ni mambo mengi sana umefanya kukijenga chama

Umekua nasi bega kwa bega mpaka siku ya jana

Usifadhaike sana CHADEMA tunakupenda sana Halima

Hata kwenye mazungumzo ya Mbowe alionyesha ameumia sana

we love you
Kama unampenda sana si ukamuoe muwe wanaume wawili wewe na Easter Bulaya .
 
Back
Top Bottom