Nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA baada ya Viongozi kutimuliwa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,471
215,291
Wakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki, bila kupoteza muda Kamati kuu ya CHADEMA baada ya kutimua wasaliti, imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja, jambo ambalo naliunga mkono .

Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi.

Natanguliza Shukrani.
 
Wakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki , bila kupoteza muda Kamati kuu ya Chadema baada ya kutimua wasaliti , imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja , jambo ambalo naliunga mkono .

Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa ? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi .

Natanguliza Shukrani .
Subiri press ya Mdee J2
 
Anna Makinda

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Katika Jumuiya zenye obobevu wa uongozi, hasa wakati wanataka maboresho ya uongozi kutoka uongozi wa muda mrefu kwenda mwingine lazima uwepo uongozi wa mpito, katika muda huo tunajipanga zaidi kabla ya kujaza nafasi.

Muda huu BAWACHA ingewachwa chini baraza la uongozi ambao inabidi liundwe na kamati kuu na liongoze taasisi hiyo muhimu kwa muda kama mwaka mmoja ili kuondoa sumu (influences) za viongozi wanaoondoka sasa kabla ya kufanya mkutano wa kujaza nafasi zilizo wazi.
 
Wakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki , bila kupoteza muda Kamati kuu ya Chadema baada ya kutimua wasaliti , imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja , jambo ambalo naliunga mkono .

Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa ? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi .

Natanguliza Shukrani .
Bawacha ni kama Brazil kwenye soka kila mtu yuko vizuri
 
Wakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki , bila kupoteza muda Kamati kuu ya Chadema baada ya kutimua wasaliti , imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja , jambo ambalo naliunga mkono .

Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa ? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi .

Natanguliza Shukrani .
Wasaliti gani waliotimuliwa, hajatimuliwa mtu, ingawaje unapanga mke wako ndo ashike hiyo nafasiiii. Hao wanawake wameonewaa
 
Subiri press ya Mdee j2
Sidhan kama itabadili kitu. Sidhani hata kama CCM wanachama wake wangefanya walichofanya, nao wangevumiliwa. Taasisi yoyote ina misingi yake, kwenda kinyume lazima uondolewe. Hata CCM wapo ambao waliondolewa kwa kwenda kinyume na taratibu za CCM. Kimsingi kwa maoni yangu, kama kweli CDM haikuwapa baraka, walipaswa kweli kuondolewa.
 
Wakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki , bila kupoteza muda Kamati kuu ya Chadema baada ya kutimua wasaliti , imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja , jambo ambalo naliunga mkono .

Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa ? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi .

Natanguliza Shukrani .
Yule aliegombea jimbo moja na Mwana FA ni mmoja wa covid19? Kama sio baasi anafaaa. Sijui anaitwa nani
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom