TAMISEMI imeitia dosari Serikali kwa suala la ajira za walimu

Hli swala la ajira feki za walimu lina baraka zote toka juu, kiufupi ndo ipo hvo. Wala usopoteze mda kuwalaumu Tamisemi, we angalia Tu kama Jina lako, ndugu na jamaa kama lipo kama halipo waambie waongeze bidii kwenye kilimo.
 
TAMISEMI WAMEMVUA NGUO JIWE.

Hao watendaji ndio waliokuwa chini ya Jafo aliyekuwa anajidai mjanja kumbe ana wakurugenzi na wakuu wa Idara vilaza mno.

TANZANIA NI MASIKINI SANA.
NALILIA TANZANIA.
 
Wamefanya makosa sana hawa watendaji,na nina uhakika hili suala litawagharimu baadhi yao. Unampangiaje mtu aliyemaliza mwaka jana,unamuacha wa mwaka 2016 na sifa ni zilezile?

Kuna baadhi ya watu wameombwa rushwa ya laki tanotano na baadhi ya wadau,walipogoma kutoa, majina yao hayajatoka pia, ila waliotoa, wamepata, inaleta picha gani? Wamezingua sana, na kesho wajiandae kujibu baadhi ya malalamiko au wapangie wengine nafasi nyingine. Wako hapo mjini, kesho wanaamkia TAMISEMI
 
Acheni kumpa jiwe sifa hasizostahili,jiwe hana uzalendo wowote na wala hajaujuniwa n yeyote hizi ajira zilikuwa propaganda za kampeni 2 endelea kuchapa kazi usitegemee ajira za jiwe.
 
Back
Top Bottom