Spika Ndugai: CHADEMA kuna mfumo dume

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.

Inatajwa kuwa CHADEMA kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.

Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.

dume.jpg
 
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Anaowatetea kimenuka kambini kwai!

 
Maamuzi ya cdm ni maamuzi sahihi na yamekimarisha zaidi chama na kuzidi kujenga imani kwa watz. Nini njaa ya miaka 5 ukalinda heshima ya milele. Watu wameuliwa wameumizwa wamekupora haki yako kibabe Hadi dunia nzima inajua iweje ushirikiane nao.
 
Ndungai amekuwa mtetezi wa haki zao kina mama. Mbona maamuzi yenu ya ndani CCM Chadema hawayaingilii. Ni kikao gani cha chama kilimkuta Benard Membe ana hatia?
Huwa hufuatilii vizuri vikao vya CCM...Membe alianza kuhukumiwa pamoja na kina EL kipindi hiko.
 
Back
Top Bottom