CHADEMA mkoa wa Mara waunga mkono Esther Matiko na Esther Bulaya kuvuliwa uanachama

@johnthebaptist kwa kuleta uzi kama huu inaonyesha umeuona ukweli kwamba mchakato wa hawa wabunge wa viti maalumu CHADEMA haukuwa sawa na haukufuata utaratibu wa kisheria. Mengine tuwaachie walioucheza mchezo tuone wanaumaliziaje.
Hahahaaaa....... Ngoja tuone!
 
Hivi ule uongozi wa chama waliokua wanaushukuru siku ya kuapishwa ni uongozi upi?

Ngoja kupambazuke
Hadi sasa akili yako haijafunguka bado.... Subiri uone kama Mdee atakuja na hoja ya kuzungumzia huo uongozi ambao alijaribu kuwadanganya Watanzania kama wewe ambaye bado umeishikilia hiyo hoja. Wenzako wameshaelewa huu mchezo mchafu.

Hujajiuliza tu pamoja na maswali mengi yaliyo kwenye hii movie, kuna hili la chama kumuorodhesha kwenye list ya wabunge, mwanachama ambaye yuko mahabusu kwa siku zaidi ya 130.

Hivi CHADEMA walikua na uhakika gani kwamba NEC ingempitisha? Na kwamba hawakuwa na wengine wa kuwaweka kwenye hiyo orodha? Utasubiri sana na hiyo hoja ya Mdee "kumshukuru" Mwenyekiti
 
Ndiyo kuonyesha mshikamano wa chama. Bashiru kawakaribisha CCM kaona kabisa wamekwisha na movie yao basiiii. Waendee tuu CCM Buuaya aisema hakuondoka CCM vibaya arudi huko. Bashiru anadai kuna mamuiki CCM, chadema ipo mioyoni mwa watuu.
 
Uongozi wa Chadema mkoani Mara umeunga mkono kwa kauli moja uamuzi wa kamati kuu ya chama chao wa kuwavua uanachama waliokuwa wabunge wao Esther Bulaya na Esther Matiko.

Source Ayo tv

Maendeleo hayana vyama!
Ndo chadema imeshaparaganyika hivyo, kumfukuza mke wa makamu wenu wa urais wa chadema poyoyo wenu Salum Mwalimu mnafikiri mtabaki wamoja?
 
Back
Top Bottom