Tetesi: Waliofukuzwa uanachama CHADEMA waanza kugawanyika

Dr.Godbless

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
820
1,000
Habari wadau. Yajayo yanafurahisha.

Waliokuwa Wabunge wa Viti Maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee wameanza kutofautiana hasa baada ya kufutwa Uanachama, na mapokeo ya maamuzi hayo kwa BAWACHA wenzao na Wanachama kwa ujumla.

Kwa taarifa zilizopo ni kwamba Dada mmoja kutoka Mbeya ameungana na wenzake na wameanza kushinikiza ili waende kuonana na mwenyekiti ili kuomba msamaha.

Jambo hili limeathiri mpango wa pamoja wa kutoa tamko kulaani kuvuliwa uanachama, kutokana na baadhi kutokubaliana na matamshi yanayokinzana na misimamo yao.

Muda unakwenda kasi, muda si mrefu tutasikia mapya juu ya mchongo mzima wa jinsi suala hili lilivyokuwa, watasema wenyewe na tutaelewa vizuri.
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
1,429
2,000
Team Mdee wasimamie walichoamua kukisimamia. There’s no turning back; wasije wakageuka mawe bure!

Chama kiliingia completely kwenye catch-22 situation. A political loss was imminent, no matter how the party chose to respond. Tukisema Upinzani hawajakomaa kwenye hii sanaa ya siasa, wanaanza kuturushia matusi kama kawaida yao!
 
Mibas

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
3,921

Stop kueneza this cheap and nonsense politics. Wewe uliekomaa umefanya nini?
 
Kiongozi mkuu2020

JF-Expert Member
Aug 8, 2020
1,115
2,000
Habari wadau.Yajayo yanafurahisha.

Waliokuwa wabunge wa viti maalumu 19 wakiongozwa na Halima Mdee wameanza kutofautiana hasa baada ya kufutwa Uanachama, na mapokeo ya maamuzi hayo kwa Bawacha wenzao na wanachama kwa ujumla.

Kwa taarifa zilizopo ni kwamba dada mmoja kutoka Mbeya ameungana na wenzake na wameanza kushinikiza ili waende kuonana na mwenyekiti ili kuomba msamaha.

Jambo hili limeathiri mpango wa pamoja wa kutoa tamko kulaani kuvuliwa uanachama, kutokana na baadhi kutokubaliana na matamshi yanayokinzana na misimamo yao.

Muda unakwenda kasi, muda si mrefu tutasikia mapya juu ya mchongo mzima wa jinsi suala hili lilivyokuwa, watasema wenyewe na tutaelewa vizuri.
SIMUMEWATIMUA KWA MBWEMBWE NA JAZBA NA FEDHURI, BILA KUWASIKILIZA, SASA MBONA MUNAWEWESEKA TENA? MBONA HAMULALI USINGIZI JUU YAO?
 
SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
5,360
2,000
Wasaliti 19(wabunge wa Covid-19) they've got only two options left now:

1). Kuanzisha chama kipya cha kisiasa ambacho kitatetea maslahi mapana ya wanawake na kupinga mifumo dume (kwa madai na visingizio kuwa CHADEMA kuna mfumo dume ndio maana walitoka).

2). Kujiunga na CCM na kusubiria huruma za jiwe kupata teuzi ndani ya chama.
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,577
2,000
Habari wadau.Yajayo yanafurahisha.

Waliokuwa wabunge wa viti maalumu 19 wakiongozwa na Halima Mdee wameanza kutofautiana hasa baada ya kufutwa Uanachama, na mapokeo ya maamuzi hayo kwa Bawacha wenzao na wanachama kwa ujumla.

Kwa taarifa zilizopo ni kwamba dada mmoja kutoka Mbeya ameungana na wenzake na wameanza kushinikiza ili waende kuonana na mwenyekiti ili kuomba msamaha.

Jambo hili limeathiri mpango wa pamoja wa kutoa tamko kulaani kuvuliwa uanachama, kutokana na baadhi kutokubaliana na matamshi yanayokinzana na misimamo yao.

Muda unakwenda kasi, muda si mrefu tutasikia mapya juu ya mchongo mzima wa jinsi suala hili lilivyokuwa, watasema wenyewe na tutaelewa vizuri.
Propaganda hizo
Hao walijua kitakachofuata,wameshajiandaa kisaikolojia
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
12,307
2,000
Kusema ukweli Magufuli mpe kazi halima mdee,si rahisi kwa mwanamke kuwa jasiri kama hivyo,kwa nchi inayojulikana kama haiheshimu demokresia kubadili msimamo na kama mwanamke pia kuwa that strong tells you something, huyu kamanda sio kwamba hakujua sie wapiga kelele wa mtandaoni tutaongea mbovu,alijua na bado akasimamia anachotaka... Halima do your thing,wengi wetu tunaongea mbovu kwenye comfort zone ya majumbani kwetu infront of laptop/computer...VITA uliyopigana ukiwa in the real environment..ni vita halisi from the real ground, NONE of US can fight in the 'real' war as you have DONE and if they dont appreciate the hard work you did for the party and the country I DO!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom