Mheshimiwa Spika Ndugai tumeushuhudia ukali wako kwa wabunge na usimamiaji wakowa kanuni hasa kwa wabunge wakorofi wa vyama vya upinzani hususani Chadema.
Umekuwa ukishutumiwa kuwa husimamii...
Tunajua kuwa sheria mama ya nchi hii ni Katiba ya Jamhuri wa Muungano, 1977, ambapo kila mwananchi anapaswa kuiheshimu na kuitii.
Viongozi wakuu wa serikali wanaapishwa kwa kuilinda Katiba hiyo...
Muungano wa JMTZ ni copy & paste ya Muungano wa nchi ya Uingereza ambapo England ndo nchi kubwa, lkn huwezi kukuta hata siku moja mtu wa England akijishughulisha na mambo ya Scotland au sijui...
Waulizeni wahaya huko kagera, walimchagua Rais, wakat wa shida tetemeko lilipotokea, hela za misaada zikawekwa hazina zikaja kukarabati shule huku akiwaambia yeye hakuleta tetemeko. Kila mtu afe...
Nazidi kuwasihi Watanzania wenzangu! Hoja zingine za kipuuzi tuziepuke!
Ajenda ya 50 kwa 50 Pasipo uwezo binafsi haina maana!
Inchi inahitaji maendeleo, Tunaelekea kwenye kasi ya kufanya kazi...
Huu ni ushauri tu kwa CCM, mimi ni mshauri huru, ni mtafiti huru, na msemaji huru.
Kwa hali ya mwamko mpya wa upinzani unakoelekea, mnahitaji watu wenye uwezo wa kujibu hoja na kushambulia...
Binafsi nimewahi kupanda ndege mara moja tu ukubwani na utotoni sidhani kama nimewahi kupanda. Nililipa 120k tu kwenda Mbeya na kurudi kwa Fast Jet 2015 kabla midege yetu haijapata sifa hizi...
Miradi na mikakati ya miradi hii iliyofeli ndani ya miaka kumi ni kielelezo tosha kwamba hatutaendelea Kama tusipoamua kujitathimini na kusimamia mambo machache.
1. Tulitumia fedha nyingi sana...
Tanzania imekumbwa na balaa la watu wengi hasa wenye elimu na ujuzi mbali mbali kuishi kama wajinga wakisubiri nature iamue maisha yao.
Kuna wimbi kubwa la Watanzania wasomi hawalali wala kufanya...
Miaka ya nyuma iliwezekana waziri kuanza na majukumu yake kabla hajala kiapo cha ubunge na hii ilikuwa ni kwa sababu wabunge waliapishwa wakati wa vikao vya bunge.
Je, kwa sasa hawa wabunge wapya...
BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI:MH GEOFREY MWAMBE NA DKT PHILIP MPANGO TURUFU MPYA ZA UKUAJI WA UCHUMI KATIKA AWAMU HII YA MWISHO YA RAIS JOHN MAGUFULI.
Leo 13:25hrs 06/12/2020
TIC ndio mzizi...
Wengine wanaweza kudhani kwamba Makonda ndiyo basi kabisa kisiasa, wasichokijua ni kwamba Magufuli hana tatizo kabisa na Makonda kilichofanyika ni mchezo tu wa kisiasa.
Ipo wazi na bayana kuwa...
Salaam Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda amedai kumshangaa Mbunge wa Kawe Halima Mdee kufanya kazi ya kumlinda Mbunge Mwenzie Ester Bulaya badala ya kuwatumikia Wananchi wa Kawe.
Kwamba...
Naanza kwa kuwambumbusha jinsi Mh. Makonda alivyofanikiwa kuhakikisha Dar ni shwari na Salama.
Mh. Makonda kwa wasiomjua ni memba wa TISS na amefanikiwa kuwa karibu na viongozi waandamizi wa...
Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.
Askofu Gamanywa...
Kuna aina mbili za viongozi wa mikoa na wilaya wanaowania Ubunge. Wapo wale wanaowania kwenye majimbo ambayo hayako kwenye mikoa au wilaya walizokuwa wakizioongoza. Na wapo wale ambao wanagombea...
Raisi Niko chini ya miguu yako naomba Makonda akipita ubunge mpe wizara ya Mambo ndani ana ushikirikiano na polisi na wadau
Makonda ana ushirikiano vizuri mno na polisi kawapa Hadi magari tofauti...
Wakuu Salaam,
RC Makonda amekuwa akisikika mara nyingi tokea awamu hii ya Rais Magufuli kuwepo madarakani. Amekuwa mstari wa mbele katika kukabiliana na mambo mbalimbali ndani ya Dar. Na hali hii...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku...
Rais JPM tayari kasha fanya uteuzi wa baraza lake la mawaziri na manaibu waziri,wengine wakirudi katika sura tofauti yaani kubadilishiwa wizara mfano Mh.Ummy Mwalimu, wengine kubaki katika nafasi...