Paul Makonda kuwa Waziri wa Mambo ya ndani mwaka 2020 - 2025?

Mheshimiwa_Mtemi

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
288
215
Naanza kwa kuwambumbusha jinsi Mh. Makonda alivyofanikiwa kuhakikisha Dar ni shwari na Salama.

Mh. Makonda kwa wasiomjua ni memba wa TISS na amefanikiwa kuwa karibu na viongozi waandamizi wa vyombo vya ulizi na usalama kwa miaka hii mitano.

Wote tunajua juhudi zake ndizo zilimpa promotion aliyekuwa RPC wa Dar kipindi hicho Afande Sirro hata kuwa IGP.

Mh. Makonda huyu ndiye aliyeanzisha operation kadhaa ambazo vingozi wengi wakubwa walishindwa kama vile madawa ya kulevya na akawatia mbaroni vigogo hadi leo wanajuta.

Wote tunajua Mh. Makonda akiamua jambo hashindwi na hakuna wa kumzuia, yeye ni one man army.

Ni ukweli kuwa wizara ya mambo ya ndani imechezewa sana kwa awamu karibu tatu sasa za uongozi. Mfano mdogo tu ni awamu hii ya JPM tangu Mwigulu, Kangi na hata Simhachawene hakuna utendahi makini ji brabrabraaa tuu.

Mh. Makonda ameandaliwa kwa ajili ya wizara hii, tujiandae na tumtakie kila la kheri.

Huu sio utabiri ni hakika.

Asanteni
 
Hata sasa ni waziri wa mambo ya ndani kwake hicho cheo kimemtosha. TAMAA ilimponza fisi.

Jambo lipi lililoanzishwa na prinsi likawa na manufaa, likadumu mpaka mwisho? Nasikia hakuna aliyepewa kipande, vile vya maticha havitumiki, wakina mama wametelekezwa tena, corona ndo imezuia poda, yeye aliongoza vita ya kupigania soko wanasema. Ile sinema ya kilauzi ndo ilifanikiwa wanasema, pengine na zile porojekti za aninouni.

Mheshimiwa angewakatilia mbali akina;
yraunaJ
inawihdiR
DAB
irassaN

Na wafananao
 
Naanza kwa kuwambumbusha jinsi Mh. Makonda alivyofanikiwa kuhakikisha Dar ni shwari na Salama.

Mh. Makonda kwa wasiomjua ni memba wa TISS na amefanikiwa kuwa karibu na viongozi waandamizi wa vyombo vya ulizi na usalama kwa miaka hii mitano.

Wote tunajua juhudi zake ndizo zilimpa promotion aliyekuwa RPC wa Dar kipindi hicho Afande Sirro hata kuwa IGP.

Mh. Makonda huyu ndiye aliyeanzisha operation kadhaa ambazo vingozi wengi wakubwa walishindwa kama vile madawa ya kulevya na akawatia mbaroni vigogo hadi leo wanajuta.

Wote tunajua Mh. Makonda akiamua jambo hashindwi na hakuna wa kumzuia, yeye ni one man army.

Ni ukweli kuwa wizara ya mambo ya ndani imechezewa sana kwa awamu karibu tatu sasa za uongozi. Mfano mdogo tu ni awamu hii ya JPM tangu Mwigulu, Kangi na hata Simhachawene hakuna utendahi makini ji brabrabraaa tuu.

Mh. Makonda ameandaliwa kwa ajili ya wizara hii, tujiandae na tumtakie kila la kheri.

Huu sio utabiri ni hakika.

Asanteni
"akiamua jambo hashindwi"
Mwambie ajaribu kwenda kwa Trump.
 
Vipi ile operesheni aliyotaka kuianzisha ya kuwapima tezi dume wakazi wa Dar ilifikia wapi?
 
Hakika wana kigamboni wamempa uwaziri wa mambo ya ndani juzi,anatarajia akabidhi ofisi yake ya RC kwa mkuu wa mkoa mpya ili akaanze majukumu yake mapya ya Uwaziri wa Mambo huko Dodoma siku ya J5 ijayo.
 
Naanza kwa kuwambumbusha jinsi Mh. Makonda alivyofanikiwa kuhakikisha Dar ni shwari na Salama.

Mh. Makonda kwa wasiomjua ni memba wa TISS na amefanikiwa kuwa karibu na viongozi waandamizi wa vyombo vya ulizi na usalama kwa miaka hii mitano.

Wote tunajua juhudi zake ndizo zilimpa promotion aliyekuwa RPC wa Dar kipindi hicho Afande Sirro hata kuwa IGP.

Mh. Makonda huyu ndiye aliyeanzisha operation kadhaa ambazo vingozi wengi wakubwa walishindwa kama vile madawa ya kulevya na akawatia mbaroni vigogo hadi leo wanajuta.

Wote tunajua Mh. Makonda akiamua jambo hashindwi na hakuna wa kumzuia, yeye ni one man army.

Ni ukweli kuwa wizara ya mambo ya ndani imechezewa sana kwa awamu karibu tatu sasa za uongozi. Mfano mdogo tu ni awamu hii ya JPM tangu Mwigulu, Kangi na hata Simhachawene hakuna utendahi makini ji brabrabraaa tuu.

Mh. Makonda ameandaliwa kwa ajili ya wizara hii, tujiandae na tumtakie kila la kheri.

Huu sio utabiri ni hakika.

Asanteni
sawa Bashite tumekusikia.

leo asubuhi nimekuchomekea pale karibu na mataa ya Stanbic... uliniona lakini? nilikuwa nakukaribisha tu huku mtaani!
 
Back
Top Bottom